Baada ya Mume kufilisika Mke adai yuko tayari kuvunja Ndoa kuliko kurudi Kijijini

Baada ya Mume kufilisika Mke adai yuko tayari kuvunja Ndoa kuliko kurudi Kijijini

Maslahi ya mwanaume ni yapi mkuu? Kwanini anataka mke?
Kwa kifupi mwanamke yupo kwa ajiri ya faida hapo kwako siku akiona hafaidiki na chochote kitu swala la watoto hilo unalijua wewe. Mfano ndo kama uzi unaovyesomeka
 
Kwa kifupi mwanamke yupo kwa ajiri ya faida hapo kwako siku akiona hafaidiki na chochote kitu swala la watoto hilo unalijua wewe. Mfano ndo kama uzi unaovyesomeka
No, nauliza kwanini mwanaume anahitaji mke? Ni maslahi gani anayatafuta kwa mke? Au hakuna ni shobo tu?
 
Atapewa
Mimi mwanamke akishazaa tena zaidi ya watoto wawili utaonaje shida kumpa Talaka kisha kuvuta chuma kingine kibichi.

Mimi nashangaaga sana
Mwanamke akishazaa watoto wawili anakua zilipendwa , lazima hata soko lake hushuka , akishafika 40's ndio inabaki kipozeo Tu cha watu hakuna mwanaume mwenye akili timamu atayefanya malengo makubwa na aina hiyo ya mwanamke , labda awe na sifa za ziada Sana ,
 
Mimi kashanizalia watoto wanne now anataka taraka, namuonea huruma maana sijui mwamba gani kampiga pumbu hadi kuvurugwa namna hii!!
Huyo mpe tu, kama ana watoto wako wa4 na anataka Talaka mpe anachotaka.

Si lazima iwe ni pumbu, pengine ana objective zake nyingine ambazo mume ni kikwazo.

Wakati mwingine mwanamke huwa ana malengo ya maisha nje ya kuzaa, kulea na kutunza mume.

Mwanamke anayeomba talaka ni bora kuliko anayeishi kinafiki hapo ndani na wewe.
 
wee mdada ni aje aisee!! ivi unaikiri mjini mchezo???...kila ki2 ni ela,,,,kukojoa ela,kuoga ela,kulala ela kumwona dr ela,,,,wakati kijijini kukojoa unaingia porini unafanya yako,kuoga unaingia mtoni unafanya yako,kulala unaingia shambai unafanya yako,ukiumwa unamwona mtaalam wa miti shamba mambo yanenda sawa,,,,,,,''''mjini noma!!
Siyo ela
Hela.
 
Sasa aachwe mjini ataishije aking'ang'ania hivyo? Au kuna mtu wa kumhudumia, au kuna vitega uchumi vya kumhakikishia mboga, maji, umeme, nk? Bila shaka vingekwepo vyote hivyo mume asingesema warudi kijijini kwahiyo mke amezingua!
 
Ndio maana kule hakuna Kodi nyumba bwerere na mashamba bwerere.

Wewe Kwa kuwa una duka la Jumla halifilisiki bakia huko huko mjini.

Cha kushangaza eti huyo.mwanamke hataki Mumewe aoe wa Kijijini.

Ndio maana Hadi nakufa sitokuja kufanya kitu kinaitwa kufunga ndoa ,never
View attachment 3191366
Kuna kitu utikikosa kwenye haya maisha kutokana na uoga
 
Back
Top Bottom