Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

Najua wanasoma hii habari. Kwa nini wanakiuka mkataba. Mtu alisaini mkataba Wa kukatwa 8% wào wanatunga sheria ya kumkata 15 bila hata taarifa. Sheria irrestroctive

Kiukweli ni kukiuka mkataba, mtu unasaini mkataba makato 8% mwisho wa siku unalipa 15%, Kwa wale wa TGS D wanalamba 105,000 nzima nzima. Sio haki kwakweli.
 
Mbona mi nimeandika nafuga kuku Vikindu, Mkuranga. Naishi Kijichi DSM na barua ya serikali ya mtaa nimeambatanisha.

Serikali yenyewe ipo wapi ya kumtafuta kila mdaiwa door to door ? Hii hii ya CCM?
Mkuu, when it comes to money utatafutwa mpaka uvunguni.

Kwanza ukishakuwa na NIDA tayati, data zako zako zinakuwa sehemu moja: LOAN BOARD, TIN, PASSPORT, SIM CARD, AJIRA ( PRIVATE, GOVT )
 
Alafu kwenye zile form za mkataba hizo habari za rentation zilikuwepo?
 
Mkuu, when it comes to money utatafutwa mpaka uvunguni.

Kwanza ukishakuwa na NIDA tayati, data zako zako zinakuwa sehemu moja: LOAN BOARD, TIN, PASSPORT, SIM CARD, AJIRA ( PRIVATE, GOVT )
Nimewahi fanya kazi miaka 2 sehemu fulani na sikuwa nalipa mkopo.
 
Hyo rentention fee inatuua, kwanini wasiweke utaratibu tujue Deni na mtu awe analipa kidogo kidogo.
Hakuna mkopo usio na riba hiyo badala ya kuitwa riba ya mkopo kama mikopo ya biashara wanaita retention money yaani riba ya kutunza thamani ya fedha
 
Bodi mnazingua nyie ni majizi tu hata mjitetee vipi ntakuja kuanika uozo wenu tangu enzi za Lubambula
 
Hakuwa mdhamini wako wakati unajaza forms?
 
Wezi wakubwa hawa HESLB, kama tu CRDB Bank
 
Sijaona majibu yeyote ya maana kutoka loan board zaidi ya kumtisha iddy tu na kutuaminisha eti iddy ameelewa na atakuwa balozi....ameelewa nini kwenye yale malalamiko yake? Retention fees ndio kitu gani? kwani ule mkpo ni biashara? Nimrodi Mkono alituanzishia janga la kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…