Baada ya Mzee Kikwete kusema yeye binafsi ndio aliteua yale majina 5 ya wagombea Urais 2015, nimekubaliana na demokrasia ya CHADEMA

Leo naona umekiri mambo mengi kuwa CCM imejaa matapeli sn
 
Na Jina lako lilikatwa ati na Jk
 
CCM watavuruganawee lakini linapokuja swala la maslahi ya chama na serikali wanakuwa pamoja.
Wapiga ramli wa mitandaoni ndo wanatesekaga ila wenye mamlaka wanajua kilichomo ndani ya circle ni nini.
 
JK amejibu watu wafitini Kimkakati...Kuna watu hata humu wamekua wanaanzsha nyuzi hasi juu yake...Hongera sana JK...yaani mtu umpike mwenyewe kwa jasho halafu mutupe bure...ukweli utabaki kuwa ukweli na ubaya utajitenga
JK amejua kuwazuga na wapambe mmezugika kisawasawa. JK mgombea wake anajulikana hata mtanzania mwenye umri wa miaka 15 sasa anamjua maana 2015 alikuwa na miaka 9.
 
Uliona facial expression ya mama Janeth wewe wakati akiyasema hayo?
 
mzee wa msoga kama kawaida yake
magufuli wakati anazindua kitabu cha mkapa alisema mkapa ndiye aliyewezesha kufika apo alipo
leo kikwete anasema yake wakati wote wawili hawapo🤣🤣🤣🤣
kweli the dead tell no tales
 
Kuna watu hawajui how power works on Africa,Afrika Rais anayekuwepo Madarakani anakuwa na power sana na yeye ndio anachagua nani amrith.

Magufuli alivyo kuwa jeuri kama sio Kikwwte aliye muweka hapo basi asingempa Mama salma ubunge wa bwererer.
Hata hivyo Magufuli mwenyewe amisha lisema hill Mara nyingine kwamba Kikwete aliacha rafiko zake na akamchagua yeye.
 
Kuna habari kuwa yalivyobaki matatu aliyeshinda alikuwa mwanamama toka znz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…