Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
Timu lege lege kama Simba si ndio?Huwa kwenye match lege lege yupo vizuri
ile kampeni yenu ya kumpambania ina endelea aje huko u mbumbumbuni?Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
Wewe unae jitambua nenda ukacheze kwanini unamsakizia mwenzioHiyo Mzize anabadilishiwa mkataba kila baada ya miezi 3. Dogo hajitambui yule. Huko anapoogopa kwenda hajui mkataba ungemlinda hata angefeli, malipo yake yako pale pale.
Si anamsikiliza injinia wa mchongo ndio director wa maisha yake...😀😀😀😀 Mwachen afie utopolo hapo eti ana mapenzi na timu na sio pesa.Hiyo Mzize anabadilishiwa mkataba kila baada ya miezi 3. Dogo hajitambui yule. Huko anapoogopa kwenda hajui mkataba ungemlinda hata angefeli, malipo yake yako pale pale.
Kwani nyie huko u mbumbumbuni hakuna wachezaji si muwapeleke nafasi ya MzizeSi anamsikiliza injinia wa mchongo ndio director wa maisha yake...😀😀😀😀 Mwachen afie utopolo hapo eti ana mapenzi na timu na sio pesa.
Mmeanza kuleta propaganda makolo mnaumia sanaInasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
Mzize no garasa. Sio Intelligent player . Huwa nashangaa watu wana mpa vibe. Ujue hapo TZ kuna mtu anaweza kuwa promoted na Media hadi ukaamini ni mzuri .Inasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
Mzize ni tofauti na kina Aziz na Chama ambao wameenda arabuni age ishasonga,Mzize no garasa. Sio Intelligent player . Huwa nashangaa watu wana mpa vibe. Ujue hapo TZ kuna mtu anaweza kuwa promoted na Media hadi ukaamini ni mzuri .
Kwa mfano, Mayele ni intelligent player ….. kwenye game muhimu ukimuweka yeye na kipa ni lazima ulie
Kwanza Mzize hana confidence …. Nina mfananisha na Bocco …
Lile goli alilokosa yeye na kipa no miongoni mwa matukio mengi kama yake huwa anafanya
Hana uwezo na akienda nje atakaa bench. Ligi ya TZ ni changa ndio maana wakienda arabun hawafurukuti
Mfano Chama
Aziz
Wakiwa TZ ni mastaa but walkienda kwenye mpira hamna kitu
Aliejitahidi ni mayele tu
Wewe kupitia iyo taaluma au ujuzi wako kwanini usiende kufanya kazi uko kwenye masilahi mazuri? Kwani uko nje ni lazima waende wacheza mpira tu?Huyo Mzize anabadilishiwa mkataba kila baada ya miezi 3. Dogo hajitambui yule. Huko anapoogopa kwenda hajui mkataba ungemlinda hata angefeli, malipo yake yako pale pale.
Lile goli alikua la wazi. Ukiangalia marudio utaona alisukumwa. Kama umecheza mpira utaelewa sio rahisi kuupiga mpira kwa nguvu au kulenga target ukiwa katika mwendo wa kuyumba au kusukumwaInasemekana timu iliyokuwa inamuhitaji ilikatisha ghafla mazungumzo na mipango ya kumchukuwa BAAADA YA KUONA KIJANA WETU AMEKOSA GOLI LA WAZI KWENYE MECHI YA TAIFA STAR Vs MOROCCO .
Waswahili mkishasikia vimisemo vya ajabu ajabu ambavyo vimekaa kimipasho mnapenda sana kuvitumia. Hii ni moja ya vimisemo hivyo. Nyingine ni:Wewe kupitia iyo taaluma au ujuzi wako kwanini usiende kufanya kazi uko kwenye masilahi mazuri? Kwani uko nje ni lazima waende wacheza mpira tu?
Mara nyingi tu katika nafasi kama zile Mzize huwa anapiga mipira kama anataka kuanguka.Lile goli alikua la wazi. Ukiangalia marudio utaona alisukumwa. Kama umecheza mpira utaelewa sio rahisi kuupiga mpira kwa nguvu au kulenga target ukiwa katika mwendo wa kuyumba au kusukumwa
Katika lile tukio Mzize akisukumwa na beki wa Morocco. Ingawa angeweza kufunga paleMara nyingi tu katika nafasi kama zile Mzize huwa anapiga mipira kama anataka kuanguka.