Mzize no garasa. Sio Intelligent player . Huwa nashangaa watu wana mpa vibe. Ujue hapo TZ kuna mtu anaweza kuwa promoted na Media hadi ukaamini ni mzuri .
Kwa mfano, Mayele ni intelligent player ….. kwenye game muhimu ukimuweka yeye na kipa ni lazima ulie
Kwanza Mzize hana confidence …. Nina mfananisha na Bocco …
Lile goli alilokosa yeye na kipa no miongoni mwa matukio mengi kama yake huwa anafanya
Hana uwezo na akienda nje atakaa bench. Ligi ya TZ ni changa ndio maana wakienda arabun hawafurukuti
Mfano Chama
Aziz
Wakiwa TZ ni mastaa but walkienda kwenye mpira hamna kitu
Aliejitahidi ni mayele tu