DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Ninachokwambia Mzize hayo matukio ya kupata wenge na kupiga shuti huku anaanguka anayafanya sana hata katika nyakati ambazo hana contact na beki. Kama unakiri kuwa angeweza kufunga pale pamoja na kwamba unaona alisukumwa inatosha kumaliza mjadala.Katika lile tukio Mzize akisukumwa na beki wa Morocco. Ingawa angeweza kufunga pale
0〒Mzize no garasa. Sio Intelligent player . Huwa nashangaa watu wana mpa vibe. Ujue hapo TZ kuna mtu anaweza kuwa promoted na Media hadi ukaamini ni mzuri .
Kwa mfano, Mayele ni intelligent player ….. kwenye game muhimu ukimuweka yeye na kipa ni lazima ulie
Kwanza Mzize hana confidence …. Nina mfananisha na Bocco …
Lile goli alilokosa yeye na kipa no miongoni mwa matukio mengi kama yake huwa anafanya
Hana uwezo na akienda nje atakaa bench. Ligi ya TZ ni changa ndio maana wakienda arabun hawafurukuti
Mfano Chama
Aziz
Wakiwa TZ ni mastaa but walkienda kwenye mpira hamna kitu
Aliejitahidi ni mayele tu
Hakuna mchezaji ambae anapeleka mpira nyavuzi kwa kila nafasi anayoipata. Kulikua na uwezekano wa Mzize kufunga pale lakini ile sio nafasi ya wazi kama ulivyoitafsiriNinachokwambia Mzize hayo matukio ya kupata wenge na kupiga shuti huku anaanguka anayafanya sana hata katika nyakati ambazo hana contact na beki. Kama unakiri kuwa angeweza kufunga pale pamoja na kwamba unaona alisukumwa inatosha kumaliza mjadala.
Hakuna anayesema kila nafasi anatakiwa aipate. Ninachosema hilo alilofanya ni tatizo lake la kujirudia. Soma post zangu za nyuma, nimewahi kuongelea hili wenge lake.Hakuna mchezaji ambae anapeleka mpira nyavuzi kwa kila nafasi anayoipata. Kulikua na uwezekano wa Mzize kufunga pale lakini ile sio nafasi ya wazi kama ulivyoitafsiri
Kila mchezaji ana mapungufu yake. Mimi sijasema Mzize hana mapungufu. Nimeongelea lile tukio ambalo umelifanyia rejea katika mechi dhidi ya morocco na kusema kwamba ni goli la wazi.Hakuna anayesema kila nafasi anatakiwa aipate. Ninachosema hilo alilofanya ni tatizo lake la kujirudia. Soma post zangu za nyuma, nimewahi kuongelea hili wenge lake.
Nimemsapoti Mzize hata kipindi mashabiki wa Yanga walionekana kumkataa.
Naona tunazunguka pale pale kama Mzize alivyozungushwa na yule kiungo wa Morocco akawa kama anazunguka kochi kufukuza mende sebuleni.Kila mchezaji ana mapungufu yake. Mimi sijasema Mzize hana mapungufu. Nimeongelea lile tukio ambalo umelifanyia rejea katika mechi dhidi ya morocco na kusema kwamba ni goli la wazi.
Kiukweli lile sio goli la wazi kwa sababu kabla ya kuupiga ule mpira alisukumwa na mpinzani, kitu kilichopelekea kukosa balance ya kumwezesha kupiga shuti la nguvu au kuupeleka mpira kwenye mashavu ya mwamba
Vipi wewe tukupeleke huko uarabuni?. Mpira sio mataqo naona unasimlia kama umewahi kucheza Man utd.Mzize no garasa. Sio Intelligent player . Huwa nashangaa watu wana mpa vibe. Ujue hapo TZ kuna mtu anaweza kuwa promoted na Media hadi ukaamini ni mzuri .
Kwa mfano, Mayele ni intelligent player ….. kwenye game muhimu ukimuweka yeye na kipa ni lazima ulie
Kwanza Mzize hana confidence …. Nina mfananisha na Bocco …
Lile goli alilokosa yeye na kipa no miongoni mwa matukio mengi kama yake huwa anafanya
Hana uwezo na akienda nje atakaa bench. Ligi ya TZ ni changa ndio maana wakienda arabun hawafurukuti
Mfano Chama
Aziz
Wakiwa TZ ni mastaa but walkienda kwenye mpira hamna kitu
Aliejitahidi ni mayele tu
Wewe unaweza kucheza namba ngapi?, tukupe hiyo nafasi ufunge.Waswahili mkishasikia vimisemo vya ajabu ajabu ambavyo vimekaa kimipasho mnapenda sana kuvitumia. Hii ni moja ya vimisemo hivyo. Nyingine ni:
1. Mpira ni mchezo wa wazi
2. Mmeanza kupenda timu kabla ya kupenda mpira
Kauli za watu wenye udumavu.