Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

Jamii forum kuna watu ni cream grade one ya hii website iq zao ,akili zao , uzi zao , mawazo yao

Afu kuna grade ya kati hawa hawa atleast iq zao wana piga nyuzi kali pia

Kuna makapi ya jamii forum kama huyu mwandishi huwa wanaanzisha uzi hata kama huna manufaaa mara nyigi uzi unakuwa mfupi kama status ya whatsapp
afu full pumba ....makapi ya jamii forum siku hizi yapo mengi sana

Hivi kweli nape huyu nape ndo aliwazidi wengine ......kawaida sana huyu jamaa zaidi labda sifa za kijinga
Wewe ndo Kapi zaidi unayeishia kutoa porojo wakati ungetumia mistari michache tu kuthibitisha au kupinva Hoja ya Mleta mada.
 
Nape kaweka rekodi isiyovunjwa. Ndio maana tangu aondoke wanabadilisha badilisha kila siku. Mara Polepole wakamtoa, Shaka wakamtoa, Njema wakamtoa na Makonda wakamtoa. Viatu ni vipana sana
Hata Makala hamalizi Mwaka......watamchomoa tu
 
Nape kaweka rekodi isiyovunjwa. Ndio maana tangu aondoke wanabadilisha badilisha kila siku. Mara Polepole wakamtoa, Shaka wakamtoa, Njema wakamtoa na Makonda wakamtoa. Viatu ni vipana sana
Kwa sasa hakuna Mwenezi atakayekaa madarakani kwa muda mrefu kwa sababu za kiuchaguzi

2015 Kamilius aliwapa somo kubwa sana CCM

Hata Komredi Polepole majukumu yake yaligawanywa kwa Dr Bashiru, Dr Abbas na Msigwa na Yeye aliachiwa Zuria tu la kubinukia sarakasi ofisini 🐼
 
Najua wanaogopa mambo ya Membe......ndio maana Hofu imetanda.

Ila Katelephone hamna kitu wameshamla kichwa
 
Labda kwanza ungetuambia umetumia vigezo gani kama ‘SI unit’ ya hayo mafanikio yake dhidi ya wengine.

Kipindi ambacho Nape alikuwa mwenezi ndio ilikuwa ukivaa sare ya CCM ni kujichoresha tu kwenye kadamnasi. Uchaguzi uliofuata CCM iliingia ikiwa na lowest public opinion poll ya kushinda uchaguzi na matokeo yenyewe yalikuwa kwenye 54% percent lowest toka chaguzi za vyama vingi kuanza.

Sasa sijui ni kigezo gani unatumia kusema huyo mtu alifanikiwa kwenye hiyo nafasi ya propaganda.
 
Labda kwanza ungetuambia umetumia vigezo gani kama ‘SI unit’ ya hayo mafanikio yake dhidi ya wengine.

Kipindi ambacho Nape alikuwa mwenezi ndio ilikuwa ukivaa sare ya CCM ni kujichoresha tu kwenye umati. Uchaguzi uliofuata CCM iliingia ikiwa na lowest public opinion poll ya kushinda uchaguzi na matokeo yenyewe yalikuwa kwenye 54% percent lowest toka chaguzi za vyama vingi kuanza.

Sasa sijui ni kigezo gani unatumia kusema huyo mtu alifanikiwa kwenye hiyo nafasi ya propaganda.
Unataka kulinganisha Public opnioni za Twaweza ambazo hadi Eyakuze akanyanganywa Passpprt?

Kubali Nape alifanya kazi vizuri.

Hata 2020 bila ule ugaidi ungeona jinsi Uenezi wa Mh Polepole ulivyoyumba.
 
Unataka kulinganisha Public opnioni za Twaweza ambazo hadi Eyakuze akanyanganywa Passpprt?

Kubali Nape alifanya kazi vizuri.

Hata 2020 bila ule ugaidi ungeona jinsi Uenezi wa Mh Polepole ulivyoyumba.
Vipi kuhusu matokeo halisi ya uchaguzi?

Vipi kura za Lowassa?

Idadi ya wabunge na madiwani wa upinzani?

Trust ya wananchi dhidi ya CCM kuelekea uchaguzi?

Unataka kusema tume ya uchaguzi na yenyewe ilikosea kuhesabu Lowassa akupata karibu 50% ya kura?

Hakuna lolote la maana Napę alilofanya zaidi ya kuonyesha ukaidi tu, wakamtanguliza sijui nani yule kuanzisha CCJ halafu wakanyuti.

Nape mwenyewe akatulizwa na hiyo nafasi ya katibu uenezi. Hakuna lolote la maana alilofanya hana huo mvuto wala ushawishi wa siasa kwenye jamii ana mbinu tu za kupenya penya ndani ya CCM mpaka alipofikia leo.
 
Nape kaweka rekodi isiyovunjwa. Ndio maana tangu aondoke wanabadilisha badilisha kila siku. Mara Polepole wakamtoa, Shaka wakamtoa, Njema wakamtoa na Makonda wakamtoa. Viatu ni vipana sana
Rekodi ya goli la mkono?
 
Hakuna cha mlima mzito wala nini. Kinachinbeba Nape ni kuwa alikuwa katika nyakati ambazo kulikuwa na matukio ya kusisimua.

Kuanzia kujivua gamba mpaka kipindi cha upinzani mkali kutoka CCM wenyewe. Upinzani wa Hayati Lowassa na Membe.

Hivyo alipata platform kubwa ya kubwabwaja na maneno yake ya shombo.

Mtu pekee aliyefanya vema sana kwa kutimiza majukumu yake kisawasawa ni Balozi Polepole.

Yaani alikuwa a State's man. Akizungumza anafanya hivyo kwa mamlaka, facts, nk.
 
Back
Top Bottom