Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

Hakuna cha mlima mzito wala nini. Kinachinbeba Nape ni kuwa alikuwa katika nyakati ambazo kulikuwa na matukio ya kusisimua.

Kuanzia kujivua gamba mpaka kipindi cha upinzani mkali kutoka CCM wenyewe. Upinzani wa Hayati Lowassa na Membe.

Hivyo alipata platform kubwa ya kubwabwaja na maneno yake ya shombo.

Mtu pekee aliyefanya vema sana kwa kutimiza majukumu yake kisawasawa ni Balozi Polepole.

Yaani alikuwa a State's man. Akizungumza anafanya hivyo kwa mamlaka, facts, nk.
Basi sawa
 
Polepole aliyekua ananua viongozi wa upinzani
Vyama vya upinzani vimepigwa marufuku kufanya shughuli yeyote ya kisiasa na wakawa wanashughulikiwa kisawa sawa mara kufunguliwa kesi wengine wapo mahabusu huku polepole akiwa mwenyewe ananasi sera

Polepole alistastawi wakati mfumo ukiwa wa kidikteta ni mtu wa hovyo kipindi cha nape kulikua na ushindani
 
Ndivyo wengine mnavyomuona Mh Polepole kwenye mizani ya kisiasa na Uongozi.
 
Back
Top Bottom