Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
-
- #21
Wewe ndo Kapi zaidi unayeishia kutoa porojo wakati ungetumia mistari michache tu kuthibitisha au kupinva Hoja ya Mleta mada.Jamii forum kuna watu ni cream grade one ya hii website iq zao ,akili zao , uzi zao , mawazo yao
Afu kuna grade ya kati hawa hawa atleast iq zao wana piga nyuzi kali pia
Kuna makapi ya jamii forum kama huyu mwandishi huwa wanaanzisha uzi hata kama huna manufaaa mara nyigi uzi unakuwa mfupi kama status ya whatsapp
afu full pumba ....makapi ya jamii forum siku hizi yapo mengi sana
Hivi kweli nape huyu nape ndo aliwazidi wengine ......kawaida sana huyu jamaa zaidi labda sifa za kijinga
Hahaa hii sio mada ya leoMakene 🐼
Hata Makala hamalizi Mwaka......watamchomoa tuNape kaweka rekodi isiyovunjwa. Ndio maana tangu aondoke wanabadilisha badilisha kila siku. Mara Polepole wakamtoa, Shaka wakamtoa, Njema wakamtoa na Makonda wakamtoa. Viatu ni vipana sana
Kwa sasa hakuna Mwenezi atakayekaa madarakani kwa muda mrefu kwa sababu za kiuchaguziNape kaweka rekodi isiyovunjwa. Ndio maana tangu aondoke wanabadilisha badilisha kila siku. Mara Polepole wakamtoa, Shaka wakamtoa, Njema wakamtoa na Makonda wakamtoa. Viatu ni vipana sana
Najua wanaogopa mambo ya Membe......ndio maana Hofu imetanda.Kwa sasa hakuna Mwenezi atakayekaa madarakani kwa muda mrefu kwa sababu za kiuchaguzi
2015 Kamilius aliwapa somo kubwa sana CCM
Hata Komredi Polepole majukumu yake yaligawanywa kwa Dr Bashiru, Dr Abbas na Msigwa na Yeye aliachiwa Zuria tu la kubinukia sarakasi ofisini 🐼
Yaan una, maana ya bumunda.???Walipwaya sana. Na ndio maana chama kinatapa tapa....mara Abdul Shaka, mara Sofia Mjema mara Polepole. Ndani ya Muda mfupi
Bumunda ndio nani?Yaan una, maana ya bumunda.???
Mdude 🐼Bumunda ndio nani?
John john john.....Unampenda Nyangali sio?Mdude 🐼
Wote wamefanya vyema je hukupata taarifa zenye kuhusu chama!Nani alifanya vizuri katika hao unaosema hawakupwaya?
Kafungue kesi umeporwa ushahidi unao!Labda sera ya kupora uchaguzi, bunduki na masanduku kwenye vyumba vya kupiga kura.
Heheeee Kesi ya Ng'ombe umpelekee Nyati?Kafungue kesi umeporwa ushahidi unao!
Timua timua inasema mengi kuliko taarifa hizo za mafichoniWote wamefanya vyema je hukupata taarifa zenye kuhusu chama!
Unataka kulinganisha Public opnioni za Twaweza ambazo hadi Eyakuze akanyanganywa Passpprt?Labda kwanza ungetuambia umetumia vigezo gani kama ‘SI unit’ ya hayo mafanikio yake dhidi ya wengine.
Kipindi ambacho Nape alikuwa mwenezi ndio ilikuwa ukivaa sare ya CCM ni kujichoresha tu kwenye umati. Uchaguzi uliofuata CCM iliingia ikiwa na lowest public opinion poll ya kushinda uchaguzi na matokeo yenyewe yalikuwa kwenye 54% percent lowest toka chaguzi za vyama vingi kuanza.
Sasa sijui ni kigezo gani unatumia kusema huyo mtu alifanikiwa kwenye hiyo nafasi ya propaganda.
Vipi kuhusu matokeo halisi ya uchaguzi?Unataka kulinganisha Public opnioni za Twaweza ambazo hadi Eyakuze akanyanganywa Passpprt?
Kubali Nape alifanya kazi vizuri.
Hata 2020 bila ule ugaidi ungeona jinsi Uenezi wa Mh Polepole ulivyoyumba.
Rekodi ya goli la mkono?Nape kaweka rekodi isiyovunjwa. Ndio maana tangu aondoke wanabadilisha badilisha kila siku. Mara Polepole wakamtoa, Shaka wakamtoa, Njema wakamtoa na Makonda wakamtoa. Viatu ni vipana sana
Mkuu pumzika sasa nipo njiani naelekea old trafford kuwashudia majogoo ya jiji yakiliua shetan kwa utitiri!Timua timua inasema mengi kuliko taarifa hizo za mafichoni
Mkuu tafuta tende sasa muda umekaribia!Heheeee Kesi ya Ng'ombe umpelekee Nyati?