Baada ya Nape Nnauye, Makatibu Uenezi wa CCM Taifa waliofata walipwaya sana

Basi sawa
 
Polepole aliyekua ananua viongozi wa upinzani
Vyama vya upinzani vimepigwa marufuku kufanya shughuli yeyote ya kisiasa na wakawa wanashughulikiwa kisawa sawa mara kufunguliwa kesi wengine wapo mahabusu huku polepole akiwa mwenyewe ananasi sera

Polepole alistastawi wakati mfumo ukiwa wa kidikteta ni mtu wa hovyo kipindi cha nape kulikua na ushindani
 
Ndivyo wengine mnavyomuona Mh Polepole kwenye mizani ya kisiasa na Uongozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…