Hilo inabidi uwaulize TECMaana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
Kawadanganye wenzio mipo mtaani kila mtu hana hamu naUSIKAE MITANDAONI TUU AMBAKO MTU MMOJA ANA I'D 100 NA ACCOUNT 200 ZA KUBAGAZA TAIFA LETU
INGIA MTAANI UFANYE UTAFITI UONE JINSI WATANZANI WANAVYOFURAHISHWA NA KAZI NJEMA YA MAMA WA AFRICA AU KAMA ANAVYOTAMBULIKA DUNIANI AU DAKTARI SAMIA SULUHU HASSAN
WATANZANIA WACHACHE AMBAO NI WANAHARAKATI WALIOLIPWA KULICHAFUA TAIFA LETU WASIKUZUZUE
TANZANIA NI SALAMA NA TANZANIA NI NJEMA
Kawadanganye wenzio mipo mtaani kila mtu hana hamu na
huyo wakala wa shetani
Mtoto wa mama.Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
Hawa watu wamo humu JF; na huyu 'Habib' naanzakumwona waziwazi katika jina lake analotumia humu JF.Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
Wewe ni sehemu ya hiyo 'project', bila ya shaka yoyote.JAMBO HILI , HAUTAWEZA KULIELEWA MPAKA MWAKA 2030 MTAKAPOONA CCM INAPATA 98% YA KULA ZOTE
Mchange alikuwa mwanachama wa cdm siku za nyuma. Na yeye pamoja na Zito Kabwe walitumiwa sana na Mwigulu kuifanya cdm ionekane ni chama cha kigaidi na kikristo. Kwa sasa anatumika na Samia kwani Mwigulu kamwambia Mchange anaiweza kazi hiyo, kwani aliwahi kumtumia akiwa cdm kwa kazi hizo chafu.Maana hii ni project na inaratibiwa kwa makusudi kabisa sasa inabidi tujue nani muasisi na mdhamini na lengo ninini?
Uhalisia kwenye uchaguzi wa juzi ulikataa. Ww una id zaidi ya moja inakushinda na unalipwa, ndio wengine waweze? Zama za ccm zimefikia tamati. Ulikuja na porojo za amani ukajifanya uko neutral, naona umesahau script, sasa rangi yako halisi iko wazi peupe.USIKAE MITANDAONI TUU AMBAKO MTU MMOJA ANA I'D 100 NA ACCOUNT 200 ZA KUBAGAZA TAIFA LETU
INGIA MTAANI UFANYE UTAFITI UONE JINSI WATANZANI WANAVYOFURAHISHWA NA KAZI NJEMA YA MAMA WA AFRICA AU KAMA ANAVYOTAMBULIKA DUNIANI AU DAKTARI SAMIA SULUHU HASSAN
WATANZANIA WACHACHE AMBAO NI WANAHARAKATI WALIOLIPWA KULICHAFUA TAIFA LETU WASIKUZUZUE
TANZANIA NI SALAMA NA TANZANIA NI NJEMA
THE BIG SHOWHawa watu wamo humu JF; na huyu 'Habib' naanzakumwona waziwazi katika jina lake analotumia humu JF.
Hapana. Huyo 'THE BIG TRASH" ni debe tupu linalotika sana.
Woote katika kundi hilo; walianza hivyo hivyo, kwa kificho na kujionyesha 'neutral'; baada ya mambo kuwa moto zaidi, sasa wamejifunua wazi kabisa!Uhalisia kwenye uchaguzi wa juzi ulikataa. Ww una id zaidi ya moja inakushinda na unalipwa, ndio wengine waweze? Zama za ccm zimefikia tamati. Ulikuja na porojo za amani ukajifanya uko neutral, naona umesahau script, sasa rangi yako halisi iko wazi peupe.
Propaganda na UONGO huu,Hilo inabidi uwaulize TEC