Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Wasipokwambia "kitanda hakizai haramu" niite Rais wa dunia nzima nimekaa pale.Hama mtaani kwangu naona mabinti wengi sana wanazalishwa sasa najiulizaga sana. Sheria inamlinda vipi huyu mtoto?
HongeraMimi niliwachukua wanangu wote (5) na nina walea kwenye ndioa ilio ongeza watoto (3)
It's just a matter of understanding as the parent...😉
Yeah Wanakuja kumpa mwongozo
Mabinti wamefanya swala la ngono kama kitu cha kawaida tu wakati zamani unatongoza binti unafuatilia miezi sita mpaka mwaka mmoja bila kufanya dating kwa sasa ukigusa siku ya kwanza siku ya pili walete.Kuongezeka kwa single mothers ni matokeo ya mmomonyoko wa maadili ya ndoa. Usomi umekuwa mwingi na wanawake wanataka uhuru wa kuishi peke yao bila mume ila kuzaa watoto wanataka
Umefafanua vizuri kiongozi ingawa kuna vitu fulani inatakiwa kungatiwa ili mtoto huyo asipate shida sana katika kupata haki yake hapo baadayeMkuu Care Giver
Mosi, Mtoto aliyezaliwa nje ya ndoa ana Haki zote za msingi za kurithi mali ya Baba yake. Kabla ya mwaka 2011 watoto wa nje ya ndoa hawakuwa na Haki ya kurithi mali za baba yao.
Lakini sheria ya mtoto mwaka 2019 mtoto wa nje ya NDOA ana haki zote za kurithi mali ya mzazi wake. Miaka ya nyuma kesi zilikuwa zikiamuliwa kwa kufata sheria za kimila kwamba watoto wa nje ya ndoa hawana haki ya kurithi mali.
1. Katiba ambayo inasema watu wote ni sawa.
2.sheria ya mtoto kifungu cha 5 ambacho kinakataza kubagua watoto
3.sheria ya mtoto kifungu cha 10 ambacho kinampa Haki ya ku-enjoy mali ya mzazi wake.
4.mikataba ya kimataifa kuhusu Haki za watoto ambazo Tanzania imeridhia.
Kiuhalisia katika sheria hakuna kitu kinaitwa “mtoto Haramu” sababu mtoto hapangi azaliwe wapi au asizaliwe wapi.
😂😂😂hawataki tupumue mkuuKuna sehemu nimesoma, mwanasheria mmoja kutoka kwa Majirani zetu, Kenya, Anasema kwamba, kwa mujibu wa sheria, kama ulimuoa single mother, ukaanza kuishi naye na ukaanza kum-support yeye na mwanaye kwa mahitaji yote, ikitokea changamoto, mkaamua kuachana basi yule mama ana haki ya kukuburuza mahakamani endapo utasitisha kutoa huduma na matunzo kwa yule your Non-biological kid(mtoto wa kufikia) uliyemkuta naye.
Hii imekaaje wataalam, mbona wanaume hatuna pa kukimbilia, kila kona sisi ni wa kubebeshwa mizigo kama punda!
Hapo najiuliza,ilitokea pia mwanamke alinikuta na watoto,tukawa tunawahudumia kwa pamoja,baada ya kuachana,na yeye ataendelea kuwajibika nao?😂😂😂hawataki tupumue mkuu
Heeeeh wewe!!! 😳😳😳😳Hapo najiuliza,ilitokea pia mwanamke alinikuta na watoto,tukawa tunawahudumia kwa pamoja,baada ya kuachana,na yeye ataendelea kuwajibika nao?