batmanwafez
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 882
- 1,346
Mkuu kwa ulivyo na haraka + uvivu sidhani kama mkeo/mpenzio anaiona Mawenzi.Mkuu ifupishe iishe mkuu maana duu tunasubiri mpaka basi piga summary tu tunataka tujue hitimisho maana unaweza jikuta umeandika chandy au Bible bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeamka salama ndugu mpenzi na mfuatiliaji wa makala hii maridhawa kabisa..!
Daa wee jamaa umenivunja mbavu.
Ngoja tusubiriAgustino alitaka akageuze MSUKULE au alibeba NYOTA jooohs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu kwa ulivyo na haraka + uvivu sidhani kama mkeo/mpenzio anaiona Mawenzi.
Chandy[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu ifupishe iishe mkuu maana duu tunasubiri mpaka basi piga summary tu tunataka tujue hitimisho maana unaweza jikuta umeandika chandy au Bible bure
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂Mkuu kwa ulivyo na haraka + uvivu sidhani kama mkeo/mpenzio anaiona Mawenzi.
Ndio hivyo mkuuDuuuh naendelea kungoja.
Yaani uliona ni asubuhi kumbe ni usiku.
Naomba niulize mkuu umesema uchawi hauendi kwa mentali umemaanisha nini?