Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Safi sana mkuu simulizi nzuri

But ushauri tu, kwanini usichukue muda walau ata nusu saa au saa nzima kuandika story, ili ukipost iwe ndefu

Dah unatuacha story ikiwa tamu sana, alafu unapost baada ya masaa mengi kupita

Mkuu muda wote naingia kuchek story nakuta hakuna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni hayo tu

leta episode mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom