Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Aisee wewe jamaa n sumu kwa kusimulia na uandishi kama Chinua Achebe na zaidi ya Shigongo[emoji3][emoji39]story tamu balaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi siwezi kukaa hata siku moja kusoma hizo hadithi za Shigongo. Lakini kwa huyu nimejikuta nasoma kwa hamu na hamasa.Huyu jamaa anakuchukuwa kimawazo unajikuta kama wewe msomaji ndiyo umevaa uhusika wake. Simulizi haiishi hamu. Huyu level yake ni watu kama marehemu Agoro Anduru. hata Munga Tehenamu naye alikuwa mwandishi mzuri sana wa hadithi.
 
Bila shaka Agostino kakata kamba. Ngoja tuone movie inaishia wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…