Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Afadhali nimeibua jambo!!

Jamani tieni likes za kumwaga ili jamaa alete story mapema mapema...

So kipande chengine sangapi mkuu..??
 
Mkuu wengine tunasoma afu tunaacha kulike siyo kuwa kitu n kibaya ila n mazoea tu. Mkuu tunaomba umalizie
 
Angalia views sio likes

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe shida ni like? Story tumeipenda wengi...sema huwa hatulike...tunalike kimoyoni ukweli ulweli....shusha episodi ingine asee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu tatizo lugha hamjanielewa

Mimi nimesema wakati mwingine natumia like kama kipimo cha watu waliosoma jamvi nikilitandika sio kwamba na lilia like hapana

Ndio nikatoa mfano hai nimetipia uzi unalike mbili naona kama bado watu hawajasoma wakutosha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu uzi huu unaviewers laki tatu huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori hiii ni ya mafundisho mm sija like kwa sababu inatisha kungekua na option ya kutishika ninge click mwamba ww shusha vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…