jooohs
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 2,524
- 10,287
- Thread starter
- #421
Sawa mkuu sio mbaya.Hii story Sasa naona inakuwa Kama yakutunga Nina walakini na hii story kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu sio mbaya.Hii story Sasa naona inakuwa Kama yakutunga Nina walakini na hii story kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali nimeibua jambo!!Sio hivyo mkuu kuhusu muda wa kuandika sio kigezo maana nikianza kuandika naipiga yote chap maiweka hapo sio kwamba kukaa kwangu kimya eti nakaa kuandika nondoo[emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa nadhani umeunganisha doti ukaona mahala hapako sawa
Pia ukiangalia nature ya story yenyewe kamaa umafatilia toka mwanzo hata kama nikutunga sio rahisi hivyo
Fatilia hapo juu kuna episode mbili moja ndefu nyingine fupi kuliko zote uangalie tofauti wa muda nilioziachia utajua mwenyewe
Kingine nakuwa mvivu maana unaachia episode unaona ina like 2 sasa najua watu wengi hawajapita kusoma Kwann niangaike kuandika nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio hivyo mkuu kuhusu muda wa kuandika sio kigezo maana nikianza kuandika naipiga yote chap maiweka hapo sio kwamba kukaa kwangu kimya eti nakaa kuandika nondoo[emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa nadhani umeunganisha doti ukaona mahala hapako sawa
Pia ukiangalia nature ya story yenyewe kamaa umafatilia toka mwanzo hata kama nikutunga sio rahisi hivyo
Fatilia hapo juu kuna episode mbili moja ndefu nyingine fupi kuliko zote uangalie tofauti wa muda nilioziachia utajua mwenyewe
Kingine nakuwa mvivu maana unaachia episode unaona ina like 2 sasa najua watu wengi hawajapita kusoma Kwann niangaike kuandika nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Excellent read!!!, thank you for taking time to write this, tbh s such a wonderful thing to read.
Angalia views sio likesSio hivyo mkuu kuhusu muda wa kuandika sio kigezo maana nikianza kuandika naipiga yote chap maiweka hapo sio kwamba kukaa kwangu kimya eti nakaa kuandika nondoo[emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa nadhani umeunganisha doti ukaona mahala hapako sawa
Pia ukiangalia nature ya story yenyewe kamaa umafatilia toka mwanzo hata kama nikutunga sio rahisi hivyo
Fatilia hapo juu kuna episode mbili moja ndefu nyingine fupi kuliko zote uangalie tofauti wa muda nilioziachia utajua mwenyewe
Kingine nakuwa mvivu maana unaachia episode unaona ina like 2 sasa najua watu wengi hawajapita kusoma Kwann niangaike kuandika nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu tatizo lugha hamjanielewaKumbe shida ni like? Story tumeipenda wengi...sema huwa hatulike...tunalike kimoyoni ukweli ulweli....shusha episodi ingine asee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia post yako kwa kichwa cha habari bila kufungua utaona details
Mkuu uzi huu unaviewers laki tatu hukoHapana mkuu tatizo lugha hamjanielewa
Mimi nimesema wakati mwingine natumia like kama kipimo cha watu waliosoma jamvi nikilitandika sio kwamba na lilia like hapana
Ndio nikatoa mfano hai nimetipia uzi unalike mbili naona kama bado watu hawajasoma wakutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Stori hiii ni ya mafundisho mm sija like kwa sababu inatisha kungekua na option ya kutishika ninge click mwamba ww shusha vituSio hivyo mkuu kuhusu muda wa kuandika sio kigezo maana nikianza kuandika naipiga yote chap maiweka hapo sio kwamba kukaa kwangu kimya eti nakaa kuandika nondoo[emoji23][emoji23]
Mimi nilikuwa nadhani umeunganisha doti ukaona mahala hapako sawa
Pia ukiangalia nature ya story yenyewe kamaa umafatilia toka mwanzo hata kama nikutunga sio rahisi hivyo
Fatilia hapo juu kuna episode mbili moja ndefu nyingine fupi kuliko zote uangalie tofauti wa muda nilioziachia utajua mwenyewe
Kingine nakuwa mvivu maana unaachia episode unaona ina like 2 sasa najua watu wengi hawajapita kusoma Kwann niangaike kuandika nyingine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wengi tunasoma kumbe lakini hatulike hatujazoea nadhani ila nakushauri anagalia views hapo ndo utajua ni wengi wanakufatilia mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app