Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Aisee!
 
Eti hata nikiona mamba sikimbii, atanikuta niko bize nachuma mbegu zangu zilizoota....

Nmecheka sana...wewe ni shida

Andika kitabu aisee...inajua kusimulia in details yan

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa matokeo yake akakutana nakubwa kuliko, zaidi hata ya alivyotarajia mana bora hata angekutana na simba ila sio kwahicho alichokutana nacho ..pole sana mkuu jooohs hakika nimakubwa uliyokutana nayo tena ktk umri mdogo kama hivyo
 
Hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…