Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Ninakufahamu sana huwa hukubali vitu kirahisi...weee ni mbishi haswa[emoji23]
Mimi siwezi kukaa hata siku moja kusoma hizo hadithi za Shigongo. Lakini kwa huyu nimejikuta nasoma kwa hamu na hamasa.Huyu jamaa anakuchukuwa kimawazo unajikuta kama wewe msomaji ndiyo umevaa uhusika wake. Simulizi haiishi hamu. Huyu level yake ni watu kama marehemu Agoro Anduru. hata Munga Tehenamu naye alikuwa mwandishi mzuri sana wa hadithi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom