jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Mshana Jr kafika huku ajionee ushirikina halisi sio ule ushirikina wake fake wa kujua tu kutengeneza chuma ulete na dawa ya mvuto kwa mpenzi
Nikiangalia I'd nyingi zipo online hivi hamuamini Kama jooohs kaenda shule kwa mpishi kuchukua kipisi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usicheke kwa nguvu.
Mimi siwezi kukaa hata siku moja kusoma hizo hadithi za Shigongo. Lakini kwa huyu nimejikuta nasoma kwa hamu na hamasa.Huyu jamaa anakuchukuwa kimawazo unajikuta kama wewe msomaji ndiyo umevaa uhusika wake. Simulizi haiishi hamu. Huyu level yake ni watu kama marehemu Agoro Anduru. hata Munga Tehenamu naye alikuwa mwandishi mzuri sana wa hadithi.