Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Duh labda Jooh kajikuta kwenye ule mwembe na simu haiwaki!!!😨, mida hii huwa tushakutana na "oooooky inaendelea....."
😃😃Mama mwenye nyumba!Tunaomba wajihi wake,maana mtaani hapa kuna mama anasadikika ni witch ila "mzigo" wake looh,nikikutana nae night na manyanga yake nakuwa na roho ya jooh na mbegu zake,namg'oa😃😃
 
Back
Top Bottom