Mzaleee
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,069
- 3,899
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moderator itabidi wanisaidieUnganisha stori yako juu bro..ama weka update no ya Uzi kwenye stori ya kwanza pale itasaidia
Hahaha,Watu sasa hivi tunajitahidi ku-like. Kweli story tamu.
Aisee!Oky Inaendelea......
Nimefika pale chini ya muembe nikachuchuma huku nikiwa nimewasha tochi nikaelekeza mahali ile mimea iliyokuwa imechomoza utazani kunde nikapeleka mkono taratibu nikashika nakuanza kunyofoa kutoka ardhi lakini ilikuwa migumu hatari sikutegemea kama ingelikuwa migumi kiasi hicho
Basi wakati nimezidi kuangaika ghafla nikaona vidole vya mikono yangu vimekuwa kama kile kisu kidogo chenye spoku alichonipa mganga nimchinjie kuku kisha nimtoboe toboe
Kwa wale wapenzi wa movies nilikuwa na mkono kama wa Arnold Schwarzenegger kwenye terminator dark fate basi wakati sijastaajabu ya musa nikaona pale chini kuna jeneza halafu nimemkaba mama yangu shingo na ule mkono nataka kuinyofoa yote. asehee mpaka leo huwa nikikaaa najiuliza nilifikaje hostel za pale shuleni yaani nilitoka mbio nazani hata mzimu uliokuwa pale karibu ulibaki unacheka
Yaani nilitoka spidi hata leo ukiniuliza nilipitia njia gani sijui asee muda mwingine bangi ni mbaya asikwambie mtu breki ya kwanza nilifikia hostel nilikuwa nimechanganyikiwa kabisa nikaanza kulie mungu wangu nimemuuwa mama nitafanyaje mimi ndio mzazi niliyekuwa nimebakiwa nae nilisikitika sana juu ya maamuzi niliyokuwa nimechukua
Usiku ule siku lala kwa amani niliona masaa hayasogei nilitamani hata ningekuwa kwenye getto la agustino nichukue simi yangu nimpigie mama ni muulize unaendeleaje, jamaa wanafunzi walianza kuniuliza mbona umepanda kitandani na viatu unamchafulia mwezio godoro sikumjibu mtu yoyote
Kimoyo moyo nakaanza kulia nilikiwa na asilimia nyingi mama ndio ameenda hivyo sasa ninabaki kupambana mwenyewe na dunia niliwaza nitakuwa nimejibebea laana gani yaani bora hata ningekuwa jambazi, mwizi hata kujiuza kuliko dhambi ya kutoa kafara
Kila saa nilikuwa naangalia muda wakati huo nikaona wenzangu usiku wanatumia vizuri kwenye masomo yao iliniuma asee. Huku mimi nskomaa na ushirikina Yaani nilihisi nimetengeneza hasara katika maisha yangu ambayo haiwezi kufutika wala siwezi kuilipa
Kuna wengine wanaweza kuona kama hii story ni maigizo lakini nakwambia kabisa kabisa kutoka moyoni omba yasikukute sio wewe tu hata ndugu yako maana majuto na laana na mateso yake niyakiwango kibaya sana
Wakati ule nikiwa bado naugulia maumivi nikawa na waza agustino nini kitakuwa kimemkuta au atakuwa yeye kafanikisha nilibaki pale na maswali mengi najiuliza nisipate wakunipa majibu. Huku nikiwaza au agustino atakuwa kasha mdedisha mshua wake
Tokea nimelala sikuongea na mtu yoyote nilipoona imefika saa kumi na moja nikatoka pale hostel nikaanza safari ya kwenda getto kwa agustino nikachukue simu ni mpigie mama yangu nijue hali yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa matokeo yake akakutana nakubwa kuliko, zaidi hata ya alivyotarajia mana bora hata angekutana na simba ila sio kwahicho alichokutana nacho ..pole sana mkuu jooohs hakika nimakubwa uliyokutana nayo tena ktk umri mdogo kama hivyoEti hata nikiona mamba sikimbii, atanikuta niko bize nachuma mbegu zangu zilizoota....
Nmecheka sana...wewe ni shida
Andika kitabu aisee...inajua kusimulia in details yan
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sanaOky Inaendelea......
Nimefika pale chini ya muembe nikachuchuma huku nikiwa nimewasha tochi nikaelekeza mahali ile mimea iliyokuwa imechomoza utazani kunde nikapeleka mkono taratibu nikashika nakuanza kunyofoa kutoka ardhi lakini ilikuwa migumu hatari sikutegemea kama ingelikuwa migumi kiasi hicho
Basi wakati nimezidi kuangaika ghafla nikaona vidole vya mikono yangu vimekuwa kama kile kisu kidogo chenye spoku alichonipa mganga nimchinjie kuku kisha nimtoboe toboe
Kwa wale wapenzi wa movies nilikuwa na mkono kama wa Arnold Schwarzenegger kwenye terminator dark fate basi wakati sijastaajabu ya musa nikaona pale chini kuna jeneza halafu nimemkaba mama yangu shingo na ule mkono nataka kuinyofoa yote. asehee mpaka leo huwa nikikaaa najiuliza nilifikaje hostel za pale shuleni yaani nilitoka mbio nazani hata mzimu uliokuwa pale karibu ulibaki unacheka
Yaani nilitoka spidi hata leo ukiniuliza nilipitia njia gani sijui asee muda mwingine bangi ni mbaya asikwambie mtu breki ya kwanza nilifikia hostel nilikuwa nimechanganyikiwa kabisa nikaanza kulie mungu wangu nimemuuwa mama nitafanyaje mimi ndio mzazi niliyekuwa nimebakiwa nae nilisikitika sana juu ya maamuzi niliyokuwa nimechukua
Usiku ule siku lala kwa amani niliona masaa hayasogei nilitamani hata ningekuwa kwenye getto la agustino nichukue simi yangu nimpigie mama ni muulize unaendeleaje, jamaa wanafunzi walianza kuniuliza mbona umepanda kitandani na viatu unamchafulia mwezio godoro sikumjibu mtu yoyote
Kimoyo moyo nakaanza kulia nilikiwa na asilimia nyingi mama ndio ameenda hivyo sasa ninabaki kupambana mwenyewe na dunia niliwaza nitakuwa nimejibebea laana gani yaani bora hata ningekuwa jambazi, mwizi hata kujiuza kuliko dhambi ya kutoa kafara
Kila saa nilikuwa naangalia muda wakati huo nikaona wenzangu usiku wanatumia vizuri kwenye masomo yao iliniuma asee. Huku mimi nskomaa na ushirikina Yaani nilihisi nimetengeneza hasara katika maisha yangu ambayo haiwezi kufutika wala siwezi kuilipa
Kuna wengine wanaweza kuona kama hii story ni maigizo lakini nakwambia kabisa kabisa kutoka moyoni omba yasikukute sio wewe tu hata ndugu yako maana majuto na laana na mateso yake niyakiwango kibaya sana
Wakati ule nikiwa bado naugulia maumivi nikawa na waza agustino nini kitakuwa kimemkuta au atakuwa yeye kafanikisha nilibaki pale na maswali mengi najiuliza nisipate wakunipa majibu. Huku nikiwaza au agustino atakuwa kasha mdedisha mshua wake
Tokea nimelala sikuongea na mtu yoyote nilipoona imefika saa kumi na moja nikatoka pale hostel nikaanza safari ya kwenda getto kwa agustino nikachukue simu ni mpigie mama yangu nijue hali yake
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka kifala Saint Anne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sicheki tena kifala, nitakuwa nacheka kama mtu wa nyuma ya mwembe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] mkuu sio mimi ni bibleNakataa
"LACK OF MONEY IS THE ROOT OF ALL EVIL"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii bado sana mkuu bado kuna matukio kibao
Zege lisilale mkuu [emoji110][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii bado sana mkuu bado kuna matukio kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiona Oky inaendelea nafurahiii....
Ila comedy za huyu mdau nikisoma nacheka kinyama hapa benchi la ma looserz wenzangu a.k.a jobless corner a.k.a wabeba lawama kikiibiwa kitu mtaani tunaulizwa sisi kwanza😅😂😆😆😆