Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Jooh endelea jamani timu waoga tunasoma asubuhi tushatia kambi. Ila mnaosoma hii story usiku roho zenu ngumu aiseee sijui na nyie mnatumia Vipisi vya mpishi...
Hivi Kuna watu mnaogopa kweli..??
Kama nihivyo basi mnavichwa vya ajabu😂
Sasa naanzaje kuogopa namna hii
Nikishasoma nafikiria kidogo tu baada ya hapo kichwa kishadakia mambo mengine! Hata nikikumbuka sioni tabu yoyote.. na hata sivuti ndumu
 
Mkuu, hii story inatisha, mwenye nyumba na mganga wake wanafanya usiku upite kwa shida sana. Kama jana nilikua napika nikahisi mtu ananitolea jicho dirishani, ukitembea unasikia kama kicheko kweli kumbe ni uoga tu.
 
Mkuu hivi kila mtu huchanjiwa wembe wake mwenyewe kweli?! Isijekuwa 'sharing' kama kwenye "Passed like a shadow!"
 
Coming Soon.....

Tukae mkao wa kula
 
Mi kichwa changu kibovu aisee
Umenifanya niote nimejikuta Mimi ndo wewe eti nipo kwa mganga napewa masharti hayo Mara nipo maporini Mara nakimbia vichakani
Hahahaaa nimeamka najichekea mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kibovu kweli maana kama unachanganywa tu wakati story iko open bila shaka wewe ni kichwa box
 
Kwa ambae atataka kwenda kwa Mganga real anaetoa ndagu ya utajiri bila kafara anicheki inbox.

Watu saizi tunatembelea vitz sababu ya mganga,namiliki mpesa moja BUZA na kijiwe cha kahawa m/rangi3

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa vitu unavomilik ww nafanikiw bila kwend kwa mganga
yani niwe na vits afu nijisifu nmefanikiwa bcs ya mganga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hii story inatisha, mwenye nyumba na mganga wake wanafanya usiku upite kwa shida sana. Kama jana nilikua napika nikahisi mtu ananitolea jicho dirishani, ukitembea unasikia kama kicheko kweli kumbe ni uoga tu.
😂😂
Punguza kujitisha hata niisome niwe peke yangu gizani siwezi ogopa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…