The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,989
- 45,411
Eeh, sipati picha hapo pakwenda kupanda hizo mbeguu yani ni kama unaenda kujua hatma yako,baada ya mihangaiko yote kwa mganga......Niko hapa nasubiri mwendelezo[emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mkuu? sindesundeHuyu jamaa atakua moshi aujatoka kichwani
Mkuu asante kwa kuendelea kunijuza kila unapotoa.
Big up mkuu jooohs
Kastory katamu walaqhi'.
Halafu wapenzi wafuatiliaji tupendane tu, tukumbukane katika kutagiana.!
Big up mkuu jooohs
Kastory katamu walaqhi'.
Halafu wapenzi wafuatiliaji tupendane tu, tukumbukane katika kutagiana.!
Mkuu usione mtu hana chanjo ukadhani ni mtakatifuMkuu asante kwa kuendelea kunijuza kila unapotoa.
Hizi mambo za chale hizi[emoji38][emoji38][emoji38] unaweza pata demu mgongo una chale kama cutting board
Sent using Jamii Forums mobile app
Agustino aisee ww ndio uliyemdangaya mwenzako aende kwa mganga sio
[emoji23][emoji23] sawa mkuungoja nisubiri storry imalizike yote ili nije kusoma yote kwa pamoja
Hapana sio yeye baada ya story kuisha utajua agustino nae msemea allishia wapiAgustino aisee ww ndio uliyemdangaya mwenzako aende kwa mganga sio
Sent using Jamii Forums mobile app