Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Heading inasanifu hitimisho

Katika maisha watu wanafight sana na maisha ila hola

Kuna maumivu mengi sana katika utafutaji ndo maana huwa ninakanuni ya kuheshimu cha mtu

Maisha yamejaa uchaguzi , ndo maana nikikuta mdada kaamua kutunisha makalio ili aishi mjini kwa kuwa mdangaji- siku hizi nimeacha kabisaa kucoment hisia zangu na kuheshimu maamzi yake

Kwa umbambanani huu haishangazi kuona watu wengine wanaishi peponi uku wengine wanaishi jehanamu



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom