shenziy.[emoji23][emoji23][emoji23] si wanapenda kukata ..wakate sasaNi kweli hata mtaani kwetu nyumba ya namna hiyo ipo, mwenyewe aliitelekeza akaweka mlinzi ili awe anaifanyia usafi lakini mlinzi hakumaliza hata mwezi akaondoka. Nyumba yenyewe ya kisasa ila imekua kama gofu vichaka vimeota hadi ndani, madirisha yalikua ya vioo ila vimeshapasuka, geti lake lipo wazi muda wote, yani limekua lijumba flani la kutisha.
Usiku taa zinawaka vizuri kwasababu umeme bado upo nadhani tanesco wanaogopa kwenda kuukata.
Usinipangie 🙂Tukagombane home thread, acha nipate zawadi kwanza
safi mkuu, yani we jaribu kusogeasogea usiogope, ukikaribia sema maneno haya, mizimu ya kwetu naomba mnilinde halafu rekodiMida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
Duh! Eneo jirani tu linatishaMida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
angalia tusije tukakupoteza mkuuMida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
Tatizo lilikukuta maeneo kama hayoMida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]***** atachezea fimbo huyu we mdanganye tusafi mkuu, yani we jaribu kusogeasogea usiogope, ukikaribia sema maneno haya, mizimu ya kwetu naomba mnilinde halafu rekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanangu tusikuponze msije mkachezea makofi bure...Mida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yanasaidiaga sana hayo maneno afu avue shati hawatomuonasafi mkuu, yani we jaribu kusogeasogea usiogope, ukikaribia sema maneno haya, mizimu ya kwetu naomba mnilinde halafu rekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
safi mkuu, yani we jaribu kusogeasogea usiogope, ukikaribia sema maneno haya, mizimu ya kwetu naomba mnilinde halafu rekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeghairi mkuu. Siendi tena. Tuendelee na uzi wa mr jooh.. maana jamaa anaweza sana na ni jasiri kwelikweli sio mitikasi hiyo.Mwanangu tusikuponze msije mkachezea makofi bure...
Afu jamaa wanalengaga sehemu moja tu wakianza kupiga hawabadilishi sehemu nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema badala ya kupiga picha,wew record voice yan sogea hadi dirishani alafu sema "hilooooo nimewaonaa" afu uje utuambie walijibuje...
Nakuja ngoja nikavute tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Nami niliiyona pia.. Inaweza kuwa inahusiana na nini? Ufafanuzi Tafadhali...Pia kuna mdada mmoja juzi niliona kwa millard Ayo kakatwa miguu yote kuanzia mapajani.
Hakuwa na tatizo lolote ila alipoenda mjini kusaka maisha hakumaliza hata wiki miguu ikaanza kuoza tatizo lilipo kuwa kubwa ikabidi mama yake aendee town
Wakati amefika hospital akataka kumpiga picha miguu ile picha zikagoma akijaribu usoni inakubali
Walimpeleka moshi sijui ndio kcmc nadhani kuna ndugu yake akawa anamwabia yule mama wewe utakuwa hujui kupiga picha
Lakini alivyoenda kujaribu mambo yakawa ni yale yale
Jamani binti wa miaka 22
Sent using Jamii Forums mobile app
MhmMida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
[emoji23][emoji23]safi mkuu, yani we jaribu kusogeasogea usiogope, ukikaribia sema maneno haya, mizimu ya kwetu naomba mnilinde halafu rekodi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23] huyu jamaa bwana!Tatizo lilikukuta maeneo kama hayo
Ndio utajua kwa nini kigezo cha kwanza cha kuwa askari jeshi
ni kutumua mbio
Sent using Jamii Forums mobile app