Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Ni kweli hata mtaani kwetu nyumba ya namna hiyo ipo, mwenyewe aliitelekeza akaweka mlinzi ili awe anaifanyia usafi lakini mlinzi hakumaliza hata mwezi akaondoka. Nyumba yenyewe ya kisasa ila imekua kama gofu vichaka vimeota hadi ndani, madirisha yalikua ya vioo ila vimeshapasuka, geti lake lipo wazi muda wote, yani limekua lijumba flani la kutisha.
Usiku taa zinawaka vizuri kwasababu umeme bado upo nadhani tanesco wanaogopa kwenda kuukata.
shenziy.[emoji23][emoji23][emoji23] si wanapenda kukata ..wakate sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
safi mkuu, yani we jaribu kusogeasogea usiogope, ukikaribia sema maneno haya, mizimu ya kwetu naomba mnilinde halafu rekodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
Duh! Eneo jirani tu linatisha

Ila mkuu ujue umeanzisha thread ndani ya thread, achilia mbali kufatilia story ya jamaa sasa hivi tunafatilia na hii issue yako kwahiyo jitahidi sana kukamilisha huu mpango
 
Mida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
angalia tusije tukakupoteza mkuu

Tatizo lilikukuta maeneo kama hayo

Ndio utajua kwa nini kigezo cha kwanza cha kuwa askari jeshi
ni kutumua mbio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
Mwanangu tusikuponze msije mkachezea makofi bure...

Afu jamaa wanalengaga sehemu moja tu wakianza kupiga hawabadilishi sehemu nyingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sema badala ya kupiga picha,wew record voice yan sogea hadi dirishani alafu sema "hilooooo nimewaonaa" afu uje utuambie walijibuje...

Nakuja ngoja nikavute tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Nimeghairi mkuu. Siendi tena. Tuendelee na uzi wa mr jooh.. maana jamaa anaweza sana na ni jasiri kwelikweli sio mitikasi hiyo.
 
Pia kuna mdada mmoja juzi niliona kwa millard Ayo kakatwa miguu yote kuanzia mapajani.

Hakuwa na tatizo lolote ila alipoenda mjini kusaka maisha hakumaliza hata wiki miguu ikaanza kuoza tatizo lilipo kuwa kubwa ikabidi mama yake aendee town

Wakati amefika hospital akataka kumpiga picha miguu ile picha zikagoma akijaribu usoni inakubali

Walimpeleka moshi sijui ndio kcmc nadhani kuna ndugu yake akawa anamwabia yule mama wewe utakuwa hujui kupiga picha

Lakini alivyoenda kujaribu mambo yakawa ni yale yale

Jamani binti wa miaka 22

Sent using Jamii Forums mobile app
Nami niliiyona pia.. Inaweza kuwa inahusiana na nini? Ufafanuzi Tafadhali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,View attachment 1414104Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
Mhm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya wana kimya mpaka saivi...

vipi kama joooh katukataa mazima afu kaenda kuanzisha uzi mwingine kwa wajasiliamali huko anafundisha watu kulima matikiti[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Nakuja ngoja nikavute tena[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Back
Top Bottom