Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,527
- 5,762
shenziy.[emoji23][emoji23][emoji23] si wanapenda kukata ..wakate sasaNi kweli hata mtaani kwetu nyumba ya namna hiyo ipo, mwenyewe aliitelekeza akaweka mlinzi ili awe anaifanyia usafi lakini mlinzi hakumaliza hata mwezi akaondoka. Nyumba yenyewe ya kisasa ila imekua kama gofu vichaka vimeota hadi ndani, madirisha yalikua ya vioo ila vimeshapasuka, geti lake lipo wazi muda wote, yani limekua lijumba flani la kutisha.
Usiku taa zinawaka vizuri kwasababu umeme bado upo nadhani tanesco wanaogopa kwenda kuukata.
Sent using Jamii Forums mobile app