Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Daa wee jamaa umenivunja mbavu.

Utadhani ulikiwa umeenda fatilia mshahara

Ndio huwa wanapenda tumia lugha hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan mm kwenye maisha yangu huwa napenda story kama hizi hapo hata bila msos tunaweza kaa mpk usiku na pia mm n mpenzi wa movie sas movie zangu n za kichawi plus movie za kivita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dhumuni langu lilikuwa ni mambo ya biashara ndio maana nikaleta huku lakini story imemeza dhumuni sio mbaya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana kwa kujua kusimulia na kuandika kwa kiwango cha juu. Hii unaweza kuchapisha kitabu na ukauza. Au kama hutaki kuchapisha au inakuwia ngumu ongea na watu wa magazeti uwauzie.
 
Usiruke kitu wewe
Nataka tu nitoe summary ya vitu vitabu

Damu zile zilisababishwa na nini

Mimi na yeye baada ya kwenda kuangalia mbegu tulikuta nini

Agustino nini kilimkuta na sasa yuko wapi

Kila kitu kitakuwa kwenye final episode

Nitaruka vitu vingi sana maana story imekuwa ndefu



Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom