Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Sisi huku mtaani mkuu, Kuna nyumba IPO kama hyo. Kila mpangaji anaekuja hachukui hata week lazima akimbie yaani.. usiku kuna viboko utapigwa mpaka ushangae na sauti za watu wakilia, haya mambo ukimwambia mtu anaweza kubisha
Haya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikika, ni wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi huku mtaani mkuu, Kuna nyumba IPO kama hyo. Kila mpangaji anaekuja hachukui hata week lazima akimbie yaani.. usiku kuna viboko utapigwa mpaka ushangae na sauti za watu wakilia, haya mambo ukimwambia mtu anaweza kubisha

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama kuna njukuti hapo hata agustino hapawezi[emoji119][emoji119][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom