Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

Baada ya njia za giza kugonga mwamba kwenye kusaka utajiri, nimeamua kufanya hivi

wewe piga picha na chukua video kwa siri hata kwa mbali usiku hayo mauza uza yakianza , halafu tuma huku mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha unampoteza mwenzio we ngoja yamkute Kama yaliyomkuta joow, unapigaa pichaa Maraaa paaaaap unajikuta ndani ghafla unasikia kicheko kikubwa nyuma ya mlango speed yakeee apooo uangalii nyumaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilkua nme upoteza u uzi ..nime tumia dk 20 kuutafta adi nime upata[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Sent from my SM-A105G using Tapatalk

Ungengasicribe, ooh sorry ungesunguscrub shit!
Unge subscribe! yees, nimepatia!!
Ila jamaa ameweza kutushika aisee, kuna vitu vya ukweli ameelezea vinavyotokea kwenye ushirikina ila nina uhakika hii story haina ukweli 100%


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapana mkuu kama ulinisoma vizuri yule jamaa aliyetupeleka kwa mganga nilisema alikuwa na pesa za kula hakuwa na utajiri wa kushangaza

Ile kafara ingekamilika ingekuwa ni majuto kwa upande wangu


Sent using Jamii Forums mobile app
kweli mkuu pesa utakuwa nayo lakini nafsi itakusuta kila uchao kwa kuuwa mzazi wako ,hata hizo pesa huwezi zifurahia kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uoga wa kitaahira wewe...
Ipo moja hapa Dar ilitajwa kuishi bure,,maji umeme na unalipwa😃na mwenye nyumba umwangalizie, vipi una ujasiri upelekwe au umpeleke ?Au una mkoki tu apige picha.
Binafsi ni mgumu sana kuamini ushirikina, ila kuna mzee kama shombe mtu mzima niliwahi kujaribu kum record video akiwa kachachamaa anataka kumpiga dereva pande la mtu.Vide ikawa inagoma na inaweka waves lakini sauti ikawa inasikika,alipoondoka nikajaribu ku record vitu vingine ikakubali.Sasa sijui mzee alikuwa na chemicals au vitu vinavyozuia camera au ni mauza uza.Im not sure.
Anyway akapige tu tupate findings
 
Pia kuna mdada mmoja juzi niliona kwa millard Ayo kakatwa miguu yote kuanzia mapajani.

Hakuwa na tatizo lolote ila alipoenda mjini kusaka maisha hakumaliza hata wiki miguu ikaanza kuoza tatizo lilipo kuwa kubwa ikabidi mama yake aendee town

Wakati amefika hospital akataka kumpiga picha miguu ile picha zikagoma akijaribu usoni inakubali

Walimpeleka moshi sijui ndio kcmc nadhani kuna ndugu yake akawa anamwabia yule mama wewe utakuwa hujui kupiga picha

Lakini alivyoenda kujaribu mambo yakawa ni yale yale

Jamani binti wa miaka 22

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia kuna mdada mmoja juzi niliona kwa millard Ayo kakatwa miguu yote kuanzia mapajani.

Hakuwa na tatizo lolote ila alipoenda mjini kusaka maisha hakumaliza hata wiki miguu ikaanza kuoza tatizo lilipo kuwa kubwa ikabidi mama yake aendee town

Wakati amefika hospital akataka kumpiga picha miguu ile picha zikagoma akijaribu usoni inakubali

Walimpeleka moshi sijui ndio kcmc nadhani kuna ndugu yake akawa anamwabia yule mama wewe utakuwa hujui kupiga picha

Lakini alivyoenda kujaribu mambo yakawa ni yale yale

Jamani binti wa miaka 22

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee.

Mkuu nasubiri episode inayofuata, ebu idondoshe chap chap
 
Haya mambo yapo wazee. Kuna nyumba huku kwetu huwa haifahamiki mmiliki wake. Kila siku usiku watu hutoa vilio wakiwa ndani ya nyumba hiyo, ukiwa kwa nje unaona kama watu wanatembea mle ndani kupitia pazia zile za transparency. Nyumba ni kubwa haina umeme kwa hiyo mwanga unaotumika mule ni kama mwanga wa mshumaa. Eneo hilo linaogopeka sana na ukipita wakati wa mchana unakuta pako kimya kwelikweli, kuanzia usiku saa tano huwa mwanga wa mshumaa unawashwa, halafu sauti za vilio zinaanza kusikika, ni wake kwa waume huku mipishano ikiendelea mule ndani. Wanasema mwenye nyumba alishafariki miaka mingi na sijui hakuwa na familia au laa. Leo nitajiaribu kupapiga picha au kuchukua video


Ni kweli hata mtaani kwetu nyumba ya namna hiyo ipo, mwenyewe aliitelekeza akaweka mlinzi ili awe anaifanyia usafi lakini mlinzi hakumaliza hata mwezi akaondoka. Nyumba yenyewe ya kisasa ila imekua kama gofu vichaka vimeota hadi ndani, madirisha yalikua ya vioo ila vimeshapasuka, geti lake lipo wazi muda wote, yani limekua lijumba flani la kutisha.
Usiku taa zinawaka vizuri kwasababu umeme bado upo nadhani tanesco wanaogopa kwenda kuukata.
 
Mida hii naenda job. Mpaka saa sita hivi ndio narudi, eneo la njia ni hili. Huu mti ni moja ya mizambara iliyoko hapa, kwa mbele kama mita 40 hivi ndio nyumba hiyo ilipo, ila kwa vile ni giza inakuwa ngumu ni mpaka pawe panamwanga kule ndani.. hapa nimepiga picha nimeweka flash light lakin nahisi nywele kusisimka. Maana sim inatoa mwanga,
20200409_191832.jpg
Nikirudi na jamaa zangu tutasogea hapa nione kama tutaweza kupiga picha.
 

Attachments

  • 1586448930105668013249.jpg
    1586448930105668013249.jpg
    20.8 KB · Views: 36
Back
Top Bottom