Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

Kazanazo

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2023
Posts
7,875
Reaction score
12,665
Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi na katiba mpya

Hivyo basi kama Mtanzania mkereketwa wa democracy na usawa katika nchi yangu nawashauri chadema wafanye yafuatayo kama mbinu mbadala itakayo wapeleka katika nchi ya ahadi

1. Waunganishe nguvu na kuvunja makundi, waombane radhi pale walipokoseana na waendeleze mapambano kwa umoja wao bila kuathiri mitizamo chanya ya walipofikia sasa kwa maana wasirudi nyuma ila wasonge mbele kwa pamoja watashinda. Hapa naongelea team Lissu na team Mbowe

2. Wakae na wataalam wa intelligence ikiwezekana wawafunze watu kwa muda fulani ili kubobea katika hayo masuala kiundani baada ya hapo hao watu wapenetrate ndani ya ccm ili kuliteka kundi lenye nguvu ndani ya ccm ambao watakuja kutumika kama stepping stone katika mabadiliko ya kweli. Kwa kipindi chote hicho siasa za chadema zinatakiwa kubadilika na kuwa siasa za kistaarabu ila ustaarabu wenye malengo mahsusi

Mabadiliko ya kweli yatatoka ndani ya ccm kwani kuna kundi kubwa tu ni wapenda haki ila inahitaji akili kubwa kuliteka kundi hilo kwani upande wa pili nao pia wako macho. Kiufupi vita inatakiwa kupiganwa kwa kutumia akili na sio bunduki hapa mtashinda mapema sana ahsanteni
 
Yani tuchanganye tena magugu na ngano!? Huo ni wendawazimu.

Kama waliamua kwenda CHAUMA ili kushika dola, ya nini kuwaomba warudi! Wacha watimize ndoto yao.

CHADEMA ya sasa sio ile ya kuwalamba matako watawala. CHADEMA ya sasa ni ya mapambano.

Yule bwana alizoea kuishi kwa vyakupewa, vyakupambania haviwezi.
 
Walipofikia chadema ndio ukomavu timilifu dhahabu iliyochujwa walipotoka ni mbali waendapo ni karibu. Hawaitaji msaada tena Kwa madhila waliyopitia wamekomaa. Halafu chadema ndio wenye siasa za kistaarabu ccm ndio wanaowaprovoke chadema Kwa kuwauwa kuwateka na Kila baya. Kama chadema hawafanyi siasa za kistaarabu mnataka wafanye nini zaidi ya madhila waliyopitia mpk Leo na hawajawahi kurusha hata mshale dhidi ya watawala je mnataka wafanyaje? Upole wao sio ujinga.
 
Kwa Yalio tokea Mo29.
Ni dhahiri CCM haitatoka kwa sanduku la kura hata CHADEMA wasimamishe malaika.

Watatoka kwa Staili ya Traole tu Au washindwane wenyewe huko
 
Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi na katiba mpya

Hivyo basi kama Mtanzania mkereketwa wa democracy na usawa katika nchi yangu nawashauri chadema wafanye yafuatayo kama mbinu mbadala itakayo wapeleka katika nchi ya ahadi

1. Waunganishe nguvu na kuvunja makundi, waombane radhi pale walipokoseana na waendeleze mapambano kwa umoja wao bila kuathiri mitizamo chanya ya walipofikia sasa kwa maana wasirudi nyuma ila wasonge mbele kwa pamoja watashinda. Hapa naongelea team Lissu na team Mbowe

2. Wakae na wataalam wa intelligence ikiwezekana wawafunze watu kwa muda fulani ili kubobea katika hayo masuala kiundani baada ya hapo hao watu wapenetrate ndani ya ccm ili kuliteka kundi lenye nguvu ndani ya ccm ambao watakuja kutumika kama stepping stone katika mabadiliko ya kweli. Kwa kipindi chote hicho siasa za chadema zinatakiwa kubadilika na kuwa siasa za kistaarabu ila ustaarabu wenye malengo mahsusi

Mabadiliko ya kweli yatatoka ndani ya ccm kwani kuna kundi kubwa tu ni wapenda haki ila inahitaji akili kubwa kuliteka kundi hilo kwani upande wa pili nao pia wako macho. Kiufupi vita inatakiwa kupiganwa kwa kutumia akili na sio bunduki hapa mtashinda mapema sana ahsanteni
Akili kisoda...chadema waundane na virus team mbowe ambao ni mapandikizi ya ccm ndani ta chadema 🙄🙄
 
Ushauri wako ni sawa na kusema chadema watupe taulo.
 
Yani tuchanganye tena magugu na ngano!? Huo ni wendawazimu.

Kama waliamua kwenda CHAUMA ili kushika dola, ya nini kuwaomba warudi! Wacha watimize ndoto yao.

CHADEMA ya sasa sio ile ya kuwalamba matako watawala. CHADEMA ya sasa ni ya mapambano.

Yule bwana alizoea kuishi kwa vyakupewa, vyakupambania haviwezi.
Kuna kitu kila mmoja wenu kajifunza kwa sasa kaeni mtoke na kauli moja siasa ndio zilivyo kutofautiana mawazo ni kawaida kwenye siasa
 
Halafu chadema ndio wenye siasa za kistaarabu ccm ndio wanaowaprovoke chadema Kwa kuwauwa kuwateka na Kila baya.
Yes! Umesema kweli ila hapa namaanisha wafanye siasa za kistaarabu kwa maana wasiwapige misumali sana mahasimu wao kwenye majukwaa hii ni kama mtego huku mission ikiendelea ili wasifungiwe wala kufanyiwa hayo yote uliyosema
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu.
Ni kweli ila kwenye siasa Mungu na shetani hawajulikani wapo chama kipi ni bora tukaamini mbinu katika kupambania mabadiliko kuliko kuamini Mungu au shetani ambaye wengi wa wafuasi wa vyama hawawaamini

Ni muda wa kutumia mbinu za kiintelijensia zaidi sasa
 
Unapaswa ulaumu jeshi lako kwa kukubali ama kushiriki kuvunja katiba waliyoapa kuilinda!
Nijuavyo mimi baada ya Uhuru wana TANU waligawanyika kuunda Serikali na dola yani wengine walibaki kwenye siasa wengine wakapelekwa kusoma wawe maprofessional na wengine wakapewa vitengo kwenye sector ya ulinzi na usalama wa taifa

TANU kwa sasa inaitwa CCM nadhani umenielewa
 
Kwa Yalio tokea Mo29.
Ni dhahiri CCM haitatoka kwa sanduku la kura hata CHADEMA wasimamishe malaika.

Watatoka kwa Staili ya Traole tu Au washindwane wenyewe huko
Ahsante kwa kunielewa mkuu ila kwa sasa hiyo ya kuwashindanisha wenyewe huko ndio best
 
Akili kisoda...chadema waundane na virus team mbowe ambao ni mapandikizi ya ccm ndani ta chadema 🙄🙄
Ni muda wa kutumia intelijensia akili lazima itumike zaidi kuliko nguvu kwani nguvu haitaishinda chama tawala

Kuhusu mapandikizi sio wote ila baadhi yao nahisi wakikubaliana na kukaa pamoja na kutunza siri hilo ni suala dogo Sana kwani unadhani ccm hakuna mapandikizi? Kwanini chama kinapeta hadi leo
 
Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi na katiba mpya

Hivyo basi kama Mtanzania mkereketwa wa democracy na usawa katika nchi yangu nawashauri chadema wafanye yafuatayo kama mbinu mbadala itakayo wapeleka katika nchi ya ahadi

1. Waunganishe nguvu na kuvunja makundi, waombane radhi pale walipokoseana na waendeleze mapambano kwa umoja wao bila kuathiri mitizamo chanya ya walipofikia sasa kwa maana wasirudi nyuma ila wasonge mbele kwa pamoja watashinda. Hapa naongelea team Lissu na team Mbowe

2. Wakae na wataalam wa intelligence ikiwezekana wawafunze watu kwa muda fulani ili kubobea katika hayo masuala kiundani baada ya hapo hao watu wapenetrate ndani ya ccm ili kuliteka kundi lenye nguvu ndani ya ccm ambao watakuja kutumika kama stepping stone katika mabadiliko ya kweli. Kwa kipindi chote hicho siasa za chadema zinatakiwa kubadilika na kuwa siasa za kistaarabu ila ustaarabu wenye malengo mahsusi

Mabadiliko ya kweli yatatoka ndani ya ccm kwani kuna kundi kubwa tu ni wapenda haki ila inahitaji akili kubwa kuliteka kundi hilo kwani upande wa pili nao pia wako macho. Kiufupi vita inatakiwa kupiganwa kwa kutumia akili na sio bunduki hapa mtashinda mapema sana ahsanteni
Huna lolote la maana unalosema hapo.

Kwamba hoja zote zimeshindwa kwa Ccm kujibu lolote la maana !!.

Hao Ccm ndiyo hawana hoja za kuweka mezani. Wanatumia vyombo vya dola na vya maamuzi kunyamazisha HOJA.
 
Back
Top Bottom