Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

Huna lolote la maana unalosema hapo.

Kwamba hoja zote zimeshindwa kwa Ccm kujibu lolote la maana !!.

Hao Ccm ndiyo hawana hoja za kuweka mezani. Wanatumia vyombo vya dola na vya maamuzi kunyamazisha HOJA.
Soma comment #15 utanielewa
 
Ni muda wa kutumia intelijensia akili lazima itumike zaidi kuliko nguvu kwani nguvu haitaishinda chama tawala

Kuhusu mapandikizi sio wote ila baadhi yao nahisi wakikubaliana na kukaa pamoja na kutunza siri hilo ni suala dogo Sana kwani unadhani ccm hakuna mapandikizi? Kwanini chama kinapeta hadi leo
Sasa huo ushauri wako wananchi awautaki chadema ikurudia kuungana na machawa wa samia huo utakuwa ndiyo mwisho wake ...kumbuka kipindi cha JPM chadema waliungana na wanamtandao dhidi ya JPM, matokeo yake chama na mbowe wakapoteza uungwaji mkono wa wananchi ...chama chenye akili ni kile chenye kutafuta zaidi uungwaji mkono na wananchi walio wengi na siyo kuungana na wahuni wachache...chadema kwa sasa kinaungwa mkono na wananchi kuliko kilivyo kuwa na hao machawa .. wewe ujiulizi kwa nini ? Je wakiwarudisha chamani hao wasaliti je wananchi watafurahishwa ? TUMIA AKILI ACHANA NA KUTUMIA KIJAMBIO KUFIKIRI...HAO WALIO ONDOKA CHAMANI UMEWASIKIA WAKITOA HATA TAMKO LA MAUAJI YA OCT 29? AU WAKITOA HATA POLE ? AU HATA WAKIONYESHA KUSIKITISHWA ?.... MFANO MZURI NI MBOWE.

Kwa huu ushauri wako inaonekana kabisa wewe ni mmoja wao wa wasaliti au kibaraka uliye tumwa na ccm kufanikisha hujuma ndani ya Chadema. Kuwa rudisha wasaliti wa wananchi ndani ya chadema na kusababisha wananchi kupoteza imani nayo hiyo ni INTELLIGENCE GANI?
 
Sasa huo ushauri wako wananchi awautaki chadema ikurudia kuungana na machawa wa samia huo utskuwa nfiyo mwisho wake ...kumbuka kipindi cha JPM chadema waliungana na wanamtandao dhifi ya JPM chama na mbowe wakapoteza uungwaji mkono na wananchi ...chama chenye akili ni kile chenye kutafuta zaidi uungwaji mkono na wananchi walio wengi na diyo kuungana na wahuni wachache...chadema kwa sasa kinsungwa mkono na wananchi kuliko kilivyo kuwa na hso machawa .. wewe ujiulizi kwa nini ? Je wakiwarudisha chamani hao wasaliti je wananchi watafurahishwa ? TUMIA AKILI ACHANA NA KUTUMIA KIJAMBIO KUFIKIRI...HAO WALIO ONDOKA CHSMANI UMEWASIKIA WAKITOA HSTA TAMKO LA MSUAJI YA OCT29? AU WAKITOA HATA POLE ? AU HATA WAKIONYESHA KUSIKITISHWA ?.... MFANO MZURI NI MBOWE.

Kwa huu ushahuri wako insonekana kabisa wewe ni mmoja wao wa wasaliti au kibaraka uliye tumwa na ccm kufanikisha hujuma ndani ya Chadema. Kuwa rudisha wasaliti wa wananchi ndani ya chadema na kusababisha wananchi kupoteza imani nayo hiyo ni INTELLIGENCE GANI?
Siasa sio uhasama wala uadui kutofautiana katika hoja na mipango ndio siasa zenyewe kwahiyo kuungana inawezekana na ukifanyika umakini na uwazi wa ajenda za kuwaunganisha wananchi wakaambiwa dhamira bila kificho kama ilivyokuwa Mbowe kuibukia ikulu ghafla bin vuu bado wanachi watakiunga mkono na huenda kikaimarika zaidi

Kinachohitajika ni dhamira ya kweli na intelijensia kubwa pamoja na uwazi ili kutochezewa akili na wahuni tena na hata wakiwemo chamani wasiwe na impact yoyote kwa chama
 
Kama siasa siyo uhasama mauaji ya October 29 ni happy birthday
 
Yawezekana maana ya Sera inakupa shida kidogo, sera inatengenezwa na vikao rasmi vya chama. Sasa wewe unauliza sera ya chama ambacho kimafungiwa kufanya shughuli ya kichama.
Pia unauliza wakifunguliwa watakuwa na sera gani, ni vizuri ungeleta swali lako baada ya chama kuanza shughuli halali ya chama kwasababu hakuna mtu anayetembea na sera mfukoni mwake. Unless wewe ni mpenda dhihaka dhidi ukweli na uwazi.
 
Kama siasa siyo uhasama mauaji ya October 29 ni happy birthday
Zile hazikuwa siasa ushasema yalikuwa mauaji siasa sio vita

Mbinu iliyotumika ndio imezaa matunda ya vifo ambapo kwa chadema kwao wao sio ushindi ila ni maumivu, kumbuka hapa naongelea chadema na sio ccm kwahiyo si vibaya mbinu zingine zikatumika kama nilivyoshauri
 
Yawezekana maana ya Sera inakupa shida kidogo, sera inatengenezwa na vikao rasmi vya chama. Sasa wewe unauliza sera ya chama ambacho kimafungiwa kufanya shughuli ya kichama.
Pia unauliza wakifunguliwa watakuwa na sera gani, ni vizuri ungeleta swali lako baada ya chama kuanza shughuli halali ya chama kwasababu hakuna mtu anayetembea na sera mfukoni mwake. Unless wewe ni mpenda dhihaka dhidi ukweli na uwazi.
Utakuwa umechanganya mada hapa nimeshauri nini wafanye baada ya NRNE kutozaa matunda na bado watu wanatafuna nchi
 
Zile hazikuwa siasa ushasema yalikuwa mauaji siasa sio vita

Mbinu iliyotumika ndio imezaa matunda ya vifo ambapo kwa chadema kwao wao sio ushindi ila ni maumivu, kumbuka hapa naongelea chadema na sio ccm kwahiyo si vibaya mbinu zingine zikatumika kama nilivyoshauri
Basi unatakiwa kutambua kuwa tayari damu za watanzania zinamwagika mambo ya kufanya masihara na damu za watanganyika kwa kukumbatia machawa siyo mahali pake .... wewe akili zako ni finyu sijui hata kama unajua siasa ni nini ?....na zipo duniani kwa kazi gani ? ..

KWA HIZI HOJA ZAKO ZINA ONYESHA WEWE UNA TATIZO LA UANITHI WA AKILI ...unajua kwa nini kukas mezani na Samia kufanya mazungumzo ya kisiasa ni ngumu sana sasa baada ya yale mauaji?
 
kukas mezani na Samia
Hapa sijamaanisha kukaa mezani na Samia nimesema wakae mezani wao kwa wao waondoe makundi na kuwa kitu kimoja

Tatizo mkuu una jaziba kama mimi ndio Samia cool down tujadili mada sio kujadili watoa mada

Ukimjadili mtoa mada ni rahisi kutoa maneno kama chawa, huna akili, mpumbavu, kinyeo na matusi mengine

Lakini ukijadili mada utajadili yaliyomo kwenye mada either kuyaunga mkono, kuyaboresha au kuyapinga
 
Kuna tofauti gani kati ya Samia na machawa wa samia ...akili zako mbovu tujibu kwanza kwanini hao unao wataka wewe kurudishwa chadema awasemi chochote kuhusu mauaji ya oct 29...wewe umesema siasa siyo uhasama sasa kwanini unakataa kukaa na samia ? Hivi muhuni anaua watu wako kinyume na haki kisha kunawatu wanamshangilia anapo ua watu kisha useme hso wanso mshangilia hawausiki na mauaji ?
 
hao unao wataka wewe kurudishwa chadema
Sina nilietaka arudishwe nimeshauri wakae waondoe tofauti zao kumbuka hakuna taasisi inaweza kuwa imara kama kuna maugomvi na kutofautiana
 
Sina nilietaka arudishwe nimeshauri wakae waondoe tofauti zao kumbuka hakuna taasisi inaweza kuwa imara kama kuna maugomvi na kutofautiana
Tofauti baina ya hoja gani na gani wapo wanaotaka kuwa chawa wa mama ndani ya chadema ndiyo hao unao wazungumzia ? Kitendo cha kukaa nao tu tayari mnahalibu trust ya wananchi kwenu.
 
Tofauti baina ya hoja gani na gani wapo wanaotaka kuwa chawa wa mama ndani ya chadema ndiyo hao unao wazungumzia ? Kitendo cha kukaa nao tu tayari mnahalibu trust ya wananchi kwenu.
Mkuu chama hakijengwi na wanananchi pekeake bali na viongozi wana mchango mkubwa kwenye chama ndio maana ccm haipendwi na wananchi wa kawaida ila inapeta maana yake ni nini hao unaowaita chawa walikuwa viongozi waandamizi wa chama zaidi ya miaka 20 na mtu anaejua msingi wa nyumba yake ni rahisi kuibomoa japo inaweza kuwa ngumu kufikia maamuzi ya kubomoa nyumba aliyoijenga kwa jasho na damu

Mimi silazimishi wawapigie magoti ili warudi ila nimeshauri wakae tena kwa intelijensia na kwa umakini mkubwa ili wamalize tofauti zao ili kukijenga chama na mengine niliyoshauri yafuate kufikia malengo ya mageuzi
 
Mwachieni Lissu mtajua baada ya no reforms no election kipi kinafuata.

Kiufupi simuoni Samia kwenye anga la Tanganyika
 
Mkuu chama hakijengwi na wanananchi pekeake bali na viongozi wana mchango mkubwa kwenye chama ndio maana ccm haipendwi na wananchi wa kawaida ila inapeta maana yake ni nini hao unaowaita chawa walikuwa viongozi waandamizi wa chama zaidi ya miaka 20 na mtu anaejua msingi wa nyumba yake ni rahisi kuibomoa japo inaweza kuwa ngumu kufikia maamuzi ya kubomoa nyumba aliyoijenga kwa jasho na damu

Mimi silazimishi wawapigie magoti ili warudi ila nimeshauri wakae tena kwa intelijensia na kwa umakini mkubwa ili wamalize tofauti zao ili kukijenga chama na mengine niliyoshauri yafuate kufikia malengo ya mageuzi
Wewe akili hauna ..haya tuambie ni kina nani hso unao taka wazungumze ni wale wazanzibar walio kwamisha chama kwa kufungua kesi
 
Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi na katiba mpya

Hivyo basi kama Mtanzania mkereketwa wa democracy na usawa katika nchi yangu nawashauri chadema wafanye yafuatayo kama mbinu mbadala itakayo wapeleka katika nchi ya ahadi

1. Waunganishe nguvu na kuvunja makundi, waombane radhi pale walipokoseana na waendeleze mapambano kwa umoja wao bila kuathiri mitizamo chanya ya walipofikia sasa kwa maana wasirudi nyuma ila wasonge mbele kwa pamoja watashinda. Hapa naongelea team Lissu na team Mbowe

2. Wakae na wataalam wa intelligence ikiwezekana wawafunze watu kwa muda fulani ili kubobea katika hayo masuala kiundani baada ya hapo hao watu wapenetrate ndani ya ccm ili kuliteka kundi lenye nguvu ndani ya ccm ambao watakuja kutumika kama stepping stone katika mabadiliko ya kweli. Kwa kipindi chote hicho siasa za chadema zinatakiwa kubadilika na kuwa siasa za kistaarabu ila ustaarabu wenye malengo mahsusi

Mabadiliko ya kweli yatatoka ndani ya ccm kwani kuna kundi kubwa tu ni wapenda haki ila inahitaji akili kubwa kuliteka kundi hilo kwani upande wa pili nao pia wako macho. Kiufupi vita inatakiwa kupiganwa kwa kutumia akili na sio bunduki hapa mtashinda mapema sana ahsanteni
Mr Much know kaifikisha CDM kaburini!! Werevu mwingi mbele huwa Giza!!
 
Back
Top Bottom