Akili kisoda...chadema waundane na virus team mbowe ambao ni mapandikizi ya ccm ndani ta chadema 🙄🙄Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi na katiba mpya
Hivyo basi kama Mtanzania mkereketwa wa democracy na usawa katika nchi yangu nawashauri chadema wafanye yafuatayo kama mbinu mbadala itakayo wapeleka katika nchi ya ahadi
1. Waunganishe nguvu na kuvunja makundi, waombane radhi pale walipokoseana na waendeleze mapambano kwa umoja wao bila kuathiri mitizamo chanya ya walipofikia sasa kwa maana wasirudi nyuma ila wasonge mbele kwa pamoja watashinda. Hapa naongelea team Lissu na team Mbowe
2. Wakae na wataalam wa intelligence ikiwezekana wawafunze watu kwa muda fulani ili kubobea katika hayo masuala kiundani baada ya hapo hao watu wapenetrate ndani ya ccm ili kuliteka kundi lenye nguvu ndani ya ccm ambao watakuja kutumika kama stepping stone katika mabadiliko ya kweli. Kwa kipindi chote hicho siasa za chadema zinatakiwa kubadilika na kuwa siasa za kistaarabu ila ustaarabu wenye malengo mahsusi
Mabadiliko ya kweli yatatoka ndani ya ccm kwani kuna kundi kubwa tu ni wapenda haki ila inahitaji akili kubwa kuliteka kundi hilo kwani upande wa pili nao pia wako macho. Kiufupi vita inatakiwa kupiganwa kwa kutumia akili na sio bunduki hapa mtashinda mapema sana ahsanteni
Ushauri wako ni sawa na kusema chadema watupe taulo.Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi na katiba mpya
Hivyo basi kama Mtanzania mkereketwa wa democracy na usawa katika nchi yangu nawashauri chadema wafanye yafuatayo kama mbinu mbadala itakayo wapeleka katika nchi ya ahadi
1. Waunganishe nguvu na kuvunja makundi, waombane radhi pale walipokoseana na waendeleze mapambano kwa umoja wao bila kuathiri mitizamo chanya ya walipofikia sasa kwa maana wasirudi nyuma ila wasonge mbele kwa pamoja watashinda. Hapa naongelea team Lissu na team Mbowe
2. Wakae na wataalam wa intelligence ikiwezekana wawafunze watu kwa muda fulani ili kubobea katika hayo masuala kiundani baada ya hapo hao watu wapenetrate ndani ya ccm ili kuliteka kundi lenye nguvu ndani ya ccm ambao watakuja kutumika kama stepping stone katika mabadiliko ya kweli. Kwa kipindi chote hicho siasa za chadema zinatakiwa kubadilika na kuwa siasa za kistaarabu ila ustaarabu wenye malengo mahsusi
Mabadiliko ya kweli yatatoka ndani ya ccm kwani kuna kundi kubwa tu ni wapenda haki ila inahitaji akili kubwa kuliteka kundi hilo kwani upande wa pili nao pia wako macho. Kiufupi vita inatakiwa kupiganwa kwa kutumia akili na sio bunduki hapa mtashinda mapema sana ahsanteni
Kuna kitu kila mmoja wenu kajifunza kwa sasa kaeni mtoke na kauli moja siasa ndio zilivyo kutofautiana mawazo ni kawaida kwenye siasaYani tuchanganye tena magugu na ngano!? Huo ni wendawazimu.
Kama waliamua kwenda CHAUMA ili kushika dola, ya nini kuwaomba warudi! Wacha watimize ndoto yao.
CHADEMA ya sasa sio ile ya kuwalamba matako watawala. CHADEMA ya sasa ni ya mapambano.
Yule bwana alizoea kuishi kwa vyakupewa, vyakupambania haviwezi.
Yes! Umesema kweli ila hapa namaanisha wafanye siasa za kistaarabu kwa maana wasiwapige misumali sana mahasimu wao kwenye majukwaa hii ni kama mtego huku mission ikiendelea ili wasifungiwe wala kufanyiwa hayo yote uliyosemaHalafu chadema ndio wenye siasa za kistaarabu ccm ndio wanaowaprovoke chadema Kwa kuwauwa kuwateka na Kila baya.
Ni kweli ila kwenye siasa Mungu na shetani hawajulikani wapo chama kipi ni bora tukaamini mbinu katika kupambania mabadiliko kuliko kuamini Mungu au shetani ambaye wengi wa wafuasi wa vyama hawawaaminiShetani hajawahi kumshinda Mungu.
Nijuavyo mimi baada ya Uhuru wana TANU waligawanyika kuunda Serikali na dola yani wengine walibaki kwenye siasa wengine wakapelekwa kusoma wawe maprofessional na wengine wakapewa vitengo kwenye sector ya ulinzi na usalama wa taifaUnapaswa ulaumu jeshi lako kwa kukubali ama kushiriki kuvunja katiba waliyoapa kuilinda!
Ahsante kwa kunielewa mkuu ila kwa sasa hiyo ya kuwashindanisha wenyewe huko ndio bestKwa Yalio tokea Mo29.
Ni dhahiri CCM haitatoka kwa sanduku la kura hata CHADEMA wasimamishe malaika.
Watatoka kwa Staili ya Traole tu Au washindwane wenyewe huko
Ni muda wa kutumia intelijensia akili lazima itumike zaidi kuliko nguvu kwani nguvu haitaishinda chama tawalaAkili kisoda...chadema waundane na virus team mbowe ambao ni mapandikizi ya ccm ndani ta chadema 🙄🙄
Huna lolote la maana unalosema hapo.Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi na katiba mpya