Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

Wewe akili hauna ..haya tuambie ni kina nani hso unao taka wazungumze ni wale wazanzibar walio kwamisha chama kwa kufungua kesi
Wewe sio mwelewa kabisa kitu kidogo ueleweshwe mara mia
 
Huo ushauri kawape ACT au Chauma maana tayari Mbowe yuko huko. Ww ndio unajua cdm wamefail. Hao wanaotaka mabadiliko ya kweli ndani ya ccm wajiunge na vyama vingine ama waanzishe chama chao. Kwani ni lazima waungane na cdm? Huu ushauri wa kiduwanzi wapelekee wanaccm wenzio.
 
Chadema walishavuka huko unakotaka kuwarudisha..!!

Huo ushauri ungebaki nao mkuu.
 
NRNE ILIFANIKIWA KWANI HAKUKUWA NA UCHAGUZI BALI WATU KUCHUKUA MAMLAKA KWA NGUVU.
 
Sawa
 
Kuna siku mamlaka ilichukuliwa kihalali niambie ni wakati gani?
Unajicontradict boss, kwenye post yako mama unasema vita ipiganwe kwa akili na sio bunduki, ila hapa unasema mamlaka haichukuliwi kihalali!
 
Nyie wabumbavu mwafikili chadema ipo watu wapumbavu kama nyie ?

Chadema ni imani ,2026 mtashangaa sana, na mtajua hamjui, pumbavu
 
Ivi unafikili chademe niyaviongozi au niya wananchi? Wananchi ndio wenye chama na nguvu hawawataki wasaliti
 
Nyie wabumbavu mwafikili chadema ipo watu wapumbavu kama nyie ?

Chadema ni imani ,2026 mtashangaa sana, na mtajua hamjui, pumbavu
Kwa chadema kila mtu ni mpumbavu, hana akili na matusi mengine yani mna hasira na kila mtu tz hii kisa ccm alooh
 
Ivi unafikili chademe niyaviongozi au niya wananchi? Wananchi ndio wenye chama na nguvu hawawataki wasaliti
Hakuna taasisi bila uongozi hata hizo taasisi za kiimani zina viongozi na waumini
 
Kwa chadema kila mtu ni mpumbavu, hana akili na matusi mengine yani mna hasira na kila mtu tz hii kisa ccm alooh
Wewe ni toleo jipya la machawa ?tuanzie apa kwanza alafu nakujibu, mpumbavu ,watu wameuliwa majumbani ,njiani bila kutokua kwenye maandamano mfano wanangu ,alafu wasema upumbavu hapa. Sio mda na wewe kitakulamba asema Bwana
 
Damu ya wanangu haitaenda bure , asema Bwana mtalipa, mfano wale walikua hawana sare wakipiga risasi , watakufa vibaya mpaka miili yao hota funza , washenzi wakubwa ,wenda ni moja yao waliwaua wanangu.


Note
Jwtz baadhi
Police
Idara yoyote inahusu police
TISS
Kikosi cha utekaji na mauwaji.
Nawachukia sana ,na Mungu awachukue mapema ili taifa lipone .
Naumia sana, sana
IMEKUA
 
Wewe ni toleo jipya la machawa ?tuanzie apa kwanza alafu nakujibu, mpumbavu ,watu wameuliwa majumbani ,njiani bila kutokua kwenye maandamano mfano wanangu ,alafu wasema upumbavu hapa. Sio mda na wewe kitakulamba asema Bwana
Sasa mimi nahusikaje hapo kwani ni vibaya kuishauri safu ya uongozi wa chadema mzee au wewe kila mtu kwako ni adui

Unahoji kuuliwa kwa watu mimi ndio niliowaua? Au kuna sehemu kwenye andiko langu nimetaja alieuwawa hapo?
 
Sasa hii inahusikaje na mada tajwa hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…