Uchaguzi 2020 Baada ya Nyalandu kuongoza kura za awali kwa 100%, Je ni dalili za Nyalandu kupeperusha bendera ya CHADEMA? Je, Lissu atarudi kweli J3?

Wewe fuatilia habari za Membe na Zitto huku kwetu cdm yetu haikuhusu.

Tusha kustukia kuwa wewe ni mpinzani wa upinzani wa kweli hapa Tanzania.
 
Mwenyewekiti wenu aligombea na nani hapo lumumba?
Huelewi kitu unaongelea ushabiki, Lissu asipopitishwa kugombea uraisi na CDM utafanyaje?, Watu wapo kimaslahi zaidi nyie mnaleta ushabiki wa Simba na Yanga.
 

Mkuu tujitahidi kuwa na uhalisia wa mambo yanayotokea na maoni yetu, Lowwasa amesaidia sana katika kuongeza kura uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua alifanya nini uchaguzi uliopita , Basi 2020, October itatupa majawabu.
 
Unamwamini je mkeo wakati kura ni Siri?

Kwani hujui mkeo anachepuka na jamaa wa Kanisani kwenu? .. basi usimwamini hata kwenye Kura.

Hamna cha siri, hiyo mashine yake yenyewe nilikuwa naambiwa ni sehemu ya siri, lakini naishika na kuipiga nitakavyo. Kupigiwa na jamaa wa kanisani ni suna, kwani nao wananisaidia baadhi ya mahitaji yake, maana najua hawapi bure. Na kwa jinsi mke wangu alivyo mzuri na bonge la chura, sitegemei kupiga mwenyewe. Na hata ww ukitaka mfuatilie, lakini mpaka akupe, nitakuwa nineshakula kuku zako sana atakazokuchuna, acha kupendeza kwa hizo nguo na misuko atakayosuka Salon. Baadhi ya mahitaji ya watoto wangu ya shule yatakuhusu pia.
 
Aisee yaani huwezi kuamini kuwa ni Lissu huyu huyu walio kuwa wanasema ni msaliti wa uzalendo.
 
Wanao piga kelele ni wasiyo jua nini kinaendelea ndani ya cdm.

Waacheni wapanue misuli ya taya zao kwa kuropoka ropoka
hizi habari za uongozi wa Chadema kutokumtaka Lissu zimezushwa na Chakubanga wa hapa chamani kwetu Lumumba.

naona kuna wanaChadema wanataka kuamini uzushi wa Chaku!
 
Huyo ni kirusi kutoka kwa Zitto na Membe wake, wao wanataka cdm tumuunge mkono Membe ili agombee kupitia ACT.

Hakuna mwana cdm atakubaliana na mawazo yao hao wasaliti wa upinzani wa kweli hapa Tanzania.

Membe kama angekuwa ni mpinzani kweli asinge kimbilia kugombea urais kwa muda mfupi alio hamia ACT. Kwanini asijikite kukiimarisha chama kwanza kabla ya kujipigia debe kuwa mgombea urais?
Weee sherekea tu lkn 29 ndo utajiona ulikuwa unashabikia hewa
 
Nyalandu kajipanga si kitoto, hilo bus analozunguka nalo tu mikoan si la mchezo, je akipita!? Heee
 
Mlishindwa kumtoa roho na sasa mmesikia anarudi sasa mmeanza kujijambia kwa uoga wa kuumbuliwa.
Lissu asubiri,atakuwa waziri mkuu kwenye serikali ya Razaro Nyarandu kipenzi cha Mbowe.
 
Kwani ccm mlivyo andaa fom moja mlikuwa mna mipango ya kupiga ela?
Nime screen shot hii msg yako wiki ijayo alhamisi nitakukumbusha, usije kukimbia kivuli chako. Kuna mengi msiyoyajua ingawa mmejawa na ushabiki mwingi. Watu Wana mikakati ya fedha sio ushabiki wa kufurahisha watu.
 
Mkuu tujitahidi kuwa na uhalisia wa mambo yanayotokea na maoni yetu, Lowwasa amesaidia sana katika kuongeza kura uchaguzi uliopita. Ukitaka kujua alifanya nini ujaguzi uliopita , Basi 2020, October itatupa majawabu.

Narudia tena Lowassa kura alizikuta cdm na wala hakukuwa na uhaba wa kura. Ingekuwa kazipata akiwa APPT MAENDELEO, TLP nk ungekuwa na hoja. Kama ndio alileta hizo kura akiwa na miezi miwili, nitajie ndani ya miaka miwili alileta viti vingapi vya ubunge na udiwani? Au taja matawi ya chama aliyoyafungua. Naona nikifika hapa wote mnaosema Lowasa ndio alileta kura 6m+ mnakimbia!

Uchaguzi huu wa 2020 chini ya Magufuli, sio uchaguzi, bali ni maonyesho ya upuuzi na ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Ccm unayotambia kuwa itashinda ndio hii inayogawa rushwa kama njugu, na bado utarajie kuna uchaguzi kama sio upuuzi wa karne ya 21?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…