Uchaguzi 2020 Baada ya Nyalandu kuongoza kura za awali kwa 100%, Je ni dalili za Nyalandu kupeperusha bendera ya CHADEMA? Je, Lissu atarudi kweli J3?

Mnapenda ushoga?
Hata selikali iliyopo inapenda na ku ukubali, muulize makonda na sakata lake kutokomeza ushoga, je selikali ilifanyaje? Utapata jibu acha kubwabwaja, jikite kwenye hoja.
 
Mjumbe yeyote wa chadema atakaye mpigia kura Nyarandu apitishwe kugombea urais kwa ticket ya CDM huyo mjumbe na alaaniwe milele yote
 
Hata selikali iliyopo inapenda na ku ukubali, muulize makonda na sakata lake kutokomeza ushoga, je selikali ilifanyaje? Utapata jibu acha kubwabwaja, jikite kwenye hoja.

Nyie wapinzani si mlikuwa mnaushangilia baada ya mabeberu kulalamika, mpaka mgombea wenu akasema sasa anauruhusu lasmi akichaguliwa,
Ni bora wa kujificha kuliko huo wa lasmi.
 
Karma ya 2015 itaendelea kutafuna kizazi na kizazi Cha CDM .
 
Mjumbe yeyote wa chadema atakaye mpigia kura Nyarandu apitishwe kugombea urais kwa ticket ya CDM huyo mjumbe na alaaniwe milele yote
Acheni demokrasia ichukue mkondo.Dua la kuku hilo .Hakuna Mungu aweza mlaani mtu kwa kutumia uhuru wake wa demokrasia ya kupiga kura!!
 
Sijui kama baada ya kuandika uliipitia hii comment yako kabla ya kupost? Anyways, bado unaweza kusoma tena na kuedit!
 
Kama kuna mtu ataendelea kubishana na wewe mkuu tindo baada ya maelezo haya mazuri ya hoja,huyo atakuwa na tatizo ubongoni mwake.
Kongole sana mkuu na Mungu akubariki sana kwa ukweli na uwazi huu uliouweka wazi kimaandishi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unazungumzia elimu kwa maana ya kuelimika au elimu kwa muktadha wa vyeti!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Lissu anaweza kishinda kura za mtandaoni. Ni hakika kwa kura za uchaguzi mkuu zitakazopigwa na watanzania waliojiandikisha kupiga kura hawezi kupata hata 2%. Hii ni kwasababu hakuna mtanzania wa umri wa 30+, mkulima na wote wanaoishi vijijini asiyejua kuwa Lissu ni msaliti namba moja wa nchi yetu.
 
Lissu yuko kimaslahi binafsi na nia ya kulipiza kisasi siyo kwa maslai ya kutaasisi ya kuhimarisha chama
 
Kwani kinachoamua nani agombee urais ni wapiga kura (wajumbe) au wanachama?

Hizi shobo ndizo zitakazowaponza.
 
Nyie wapinzani si mlikuwa mnaushangilia baada ya mabeberu kulalamika, mpaka mgombea wenu akasema sasa anauruhusu lasmi akichaguliwa,
Ni bora wa kujificha kuliko huo wa lasmi.
Kumbe una jua kuwa upo, na selikali ime ukubali basi kuwa mpole, acha porojo jikite kwenye mada.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…