Baada ya Oktoba 25, Mbowe atang'olewa uenyekiti wa CHADEMA?


mungu-Mbowe, the one and only...chairman for life!
 
nashauri iwapo chadema tukishindwa mbowe ajiuzuru yeye mwenyewe
 
Hakuna mwenye uwezo wa kumhoji wala kupinga maamuzi ya mungu Mbowe ndani ya chama kwa sasa-HAKUNA

Nani mwemye uwezo wa kupinga maamuzi ya mwenyekiti wa CCM Taifa na asishughulikiwe?! Unataka kutuamimisha kuwa kuna mtu amewahi kuhoji kule TLP tu kwa mfano asishughulikiwe!?Acha upotoshaji!
 
Mbowe hana mpinzani kwa sasa ndani ya Chadema na ccm ya magamba. Nikiongozi aliyethubutu kulikomboa taifa kutoka kwa mkoloni mweusi ccm. Hatuna muda wa kupoteza kwa sasa ni Lowassa mpaka Ikulu. Hakuna sababu ya kushindwa Lowasa kila kitu kipo wazi
 
Baada ya oct 25 kikwete ataendelea kuwa mwenyekiti wa ccm
 
kwa Kuwa ni baada ya kuing'oa ccm no worries
 
baada ya uchaguzi lowasa ndo atakua mwenyekiti na katibu atakua fredrick sumaye...
 
Badala ya kumushukuru kwa kuleta taarifa mnamuuliza maswali magumu.

Badala ya kumushukuru kwa kuleta taarifa mnamuuliza maswali magumu.

Kazi mojawapo ya CCM ni kusaidia upinzani uwe imara kwa ustawi wa nchi.

Ni CCM ndio iliyoamua kukubali kurejesha mfumo wa vyama vingi ingawa asilimia 80 ya watanzania waliukataa pengine kwa kujua kuna usanii na utapeli mkubwa ndani ya mfumo huu.

Isitoshe mimi inaweza kunihusu kama mtanzania mlipa kodi ambayo sehemu ya kodi hiyo inaenda kuendesha chama hicho ambacho sasa kimegeuzwa saccoss ya familia.
 
Jiulize kama JK ndo ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani CCM ama atamuachia Magufuli
 
Mimi binafsi ili niendelee kuiunga mkono Chadema Mbowe inabidi akae pembeni kwan katudhoofisha sana wanachama

Ulitoka lini ugambani? mwaka wa mabadiliko huu na Lowasa ndiye rais wako
 

Watz walishaamua mabadiliko hivyo huu uharo wako peleka Lumumba.Rais ni Lowasa tu!
 
Jiulize kama JK ndo ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Upinzani CCM ama atamuachia Magufuli
JK ndio mwenyekiti pekee aliyeweza kuvunja nguvu ya wanamitandao kwenye chama na kukiacha mikononi salama ya wachapakazi na wakulima
 
Naona Lowasa anawajambisha sana hawa kupe wa lumumba
 
JK ndio mwenyekiti pekee aliyeweza kuvunja nguvu ya wanamitandao kwenye chama na kukiacha mikononi salama ya wachapakazi na wakulima

Kwa hiyo kajivunja Mwenyewe
Na Mbona anahaha na Lowassa,anaogopa nini ?
Raisi wako ni ENL utake usitake
 

Mbowe kabugi sana tu! Hakuna asiye jua, hao wabishi wanajifariji tu
 
Mimi binafsi ili niendelee kuiunga mkono Chadema Mbowe inabidi akae pembeni kwan katudhoofisha sana wanachama

Hanunuliki huyo, ndiyo maana mmemshupalia.
Mbowe mashine kubwa. Poleni sana magamba.
 

Kuna lile wazungu wanasema 'putting a horse before a cart'. Subirini kwanza zoezi la uchaguzi liishe. Baada ya hapo kila chama kitajua lake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…