Baada ya Oktoba 25, Mbowe atang'olewa uenyekiti wa CHADEMA?

Nadhani unamaanisha misimamo ya Slaa ndio ilikuwa mwiba kwa ccm na sasa ni mwiba kwa chadema pia.

Una mfano wowote wa msimamo wa mbowe zaidi ya kuita wenzake wasaliti?

Nakumbuka wakati tunaulizia Dr Slaa yuko wapi mlikanusha sana juu ya kujiuzulu kwake lakini baadae aliwaumbua sana,unapokataa kwamba mgogoro huu haupo unapata habari kwa nani?usije kuta unaposema 'ndani ya chama' unaongelea Mbowe,Mtei,Mnyika na lissu.

kama unaamini chama chako kimekuwa basi jibidiishe kuutafuta ukweli ili uwe huru.

Unadhani wanachama ni wajinga au wavumilivu kwa ujinga uliofanywa na wakubwa chamani?

Maamuzi yao yamegusa na kuathiri maslahi ya watia nia ndani ya chadema waliojiandaa kwa muda mrefu.

Sasa wewe endelea kukanusha lakini utakuja kuyakumbuka maneno yangu baada ya oktoba 25 wakati mimi nitakuwa nikiimbaa ''TINGA TINGA LIKO UWANJANI''

Wewe huoni kuwa umeiteekeza ccm? Maana wewe kila kukicha ni cdm tu
 
Baada ya Oktoba 25 wanachama wa chadema asili wanajipanga kukirudisha chama chao kutoka mikono ya familia ya Mtei na kukifanya kuwa taasisi ya umma kwa kuwa inatumia ruzuku za serikali.

Ni wazi Mbowe anaonekana kujutia uamuzi wake wa kubadili gear angani,uamuzi ambao umeigharimu chadema kwa kumpoteza shujaa wa ujenzi wa upinzani wa kweli Tanzania ndugu Dr Slaa.

Ni ukweli usiojificha kwa wanachama wa chadema asili wametaharuki na kushangaa chama chao kutekwa na wahuni au makapi yaliyoisumbua ccm hadi Kikatio cha Mangula kilipotumika.

Wanachama wa chadema asilia wamelazimika kuirudisha ccm madarakani kwa kosa kubwa la kiitifaki lililoamuliwa na familia moja tu ndani ya chama.

Wanachama wa chadema asilia ni wazi wanatafakari hasa baada ya ushindi wa kishindo wa Magufuli ni kwa vipi wanaweza kukinusuru chama chao kisiporomoke kama NCCR,CUF na TLP.

Wanachadema asilia wanatafuta mwenyekiti kwani haiwezekani Wangwe,Arfi,Zitto,Kitila,Mwigamba na Slaa wakawa na matatizo...tatizo ni mwenyekiti na akiendelea kuchekewa chama kitafutika kwenye ramani ya kisiasa.

Wanachadema asilia wanatambua wanayo haki ya kisheria ya kukiondoa chama mikononi mwa familia ya mtei.

Wanachadema asilia wanataka kuona mfumo wa uteuzi wa wagombea ndani ya chama unakuwa wazi na kufuata taratibu za chama.

Wanachadema asilia wanataka kuona mgao wa ruzuku unakuwa fairly distributed na sio kuwafikia baadhi ya wanaojidai makamanda kutoka kaskazini.

Ni katibu aliyeondolewa na Mbowe ndio aliyetuelekeza kwenda mitaani na vijijini ili kukikuza chama na aliahidi kutupima kwa hilo.leo hii Mbowe amemfanya katibu ni mvivu.

Wanachadema asilia hawajapewa fursa rasmi ya kumpitisha lowassa kuwa mgombea urais kupitia chadema.hili limefanyika kiujanjaujanja kwa kuwa Mwenyekiti anajua wanachama wangelipinga kwani mgombea huyu hana sifa za kikamanda wala hajui misingi ya kuwa kamanda wa wananchi wanyonge.

Wanachadema asilia hawakupewa fursa ya kuamua au kujua jinsi gani mchakato wa kuachiana majimbo utakavyokuwa.sana sana mchakato ulisikika kwenye vyombo vya habari tu.

Wanachadema asilia walijitoa kwa hali,mali na uhai wao kwa kutarajia Tanzania mpya inazaliwa ikiwa haina ufisadi,uongo,udini,ukanda,ufamilia,ukabaila na usaliti badala yake Mwenyekiti na timu ya wachache imetuletea mamluki wanaokichafua chama na kukiacha kikiwa vipande vipande.

Kwa heshima ya Wangwe,Zitto,Slaa,Arfi,Kitila,Kafulila na wengine ni lazima Mwenyekiti uondolewe kwani wewe ndio tatizo.Mwenyekiti umebebwa sana na think tanks ndani ya Chadema na malipo yao yamekuwa ni kuwafukuza tu.

Mwisho wa Mbowe kuwa mwenyekiti Chadema ni oktoba 25.

SENT AS RECEIVED!

Wewe ni mpuuzi, mhuni, jizi na laghai. Acha kuandika ujinga kama huna cha kuandika. Tueleze twiga walipandaje kwenye ndege kwenda nje? Escrow nani alichota hela kwenye magunia katika benki ya standbick? Mambo ya Ngoswe, mwachie Ngoswe Mwenyewe. CHADEMA waache na mambo yao. Propaganda hazitawasaidia sana safari hii
 
Tueleze ilikuwaje mtuhumiwa wa Richmond mkamfanya mgombea urais?

Tueleze hela zinazoendelewa kulipwa dowans mpaka leo hii zinaingia kwa nani?

Halafu ukimaliza tueleze aliyeua kiwanda cha general tyre na kutuchukulia ranchi zetu.

Halafu tueleze ni nani aliuechukua ardhi huko mvomero kiasi cha kuiacha halmashauri bila eneo la kujenga makao makuu?

Halafu utueleze ni nani aliyemchotea mifwedha Mbatia,Mnyika na lissu kiasi cha kujenga majumba huko mbezi?

Halafu mtujibu yale mabilioni ya kununuliwa kwa chadema na ukawa nani wamekula?

Ukimaliza nieleze ni nani aliyeshika tenda za halmashauri kule Monduli?

Halafu niambie ni mbunge gani kala mamilioni ya fedha na kuachana na harakati za kudai mashamba huko Arusha?

Ukianza kujibu hayo tutaenda sawa!
 
Mhusika wa Richmond ni JK. Ilikuaje mhusika wa Richmond mkamfanya kuwa Rais wa Tanzania? Tanzania mpya inakuja. Hii Tanzania ya matapeli wa CCM na vibaraka wake imefika mwisho
 
Hapo kuna hoja gani ya kujibu wee msee...wewe ccm cdm inakuhusu nn!
ona sasa na wewe. ukiitwa nyumbu kufuata malisho sio utukane matusi. toa hoja kwa nini wewe sio nyumbu. kama wewe ni gamba au kapi sema tu hakuna haja ya kutukana.
 
Mimi binafsi ili niendelee kuiunga mkono Chadema Mbowe inabidi akae pembeni kwan katudhoofisha sana wanachama

Na baada ya tar25 ndo itakuwa mwisho wa chama chetu tulichokipenda. Miaka yote tumekuwa makini sana. Ila mwaka huu naona nwenyekiti amechanganya mchele na pumba. Yani ni ccmA na ccm B bila kupenda HAPA KAZI TU.
 
Mbowe atafungwa jiwe na kutupwa baharini kwa kuua matumaini ya wanachadema waliopigania mabadiliko ya kweli.
 
Mbona hili halina mjadala? kamari yote aliyoicheza inategemea ushindi wa Lowassa na Bunge; kitu chochote chini ya hapo kitamlazimu kujiuzulu yeye mwenyewe. Na itategemea kama atashinda kugombea huko Hai.
 
Baada ya Oktoba 25 wanachama wa chadema asili wanajipanga kukirudisha chama chao kutoka mikono ya familia ya Mtei na kukifanya kuwa taasisi ya umma kwa kuwa inatumia ruzuku za serikali.

Ni wazi Mbowe anaonekana kujutia uamuzi wake wa kubadili gear angani,uamuzi ambao umeigharimu chadema kwa kumpoteza shujaa wa ujenzi wa upinzani wa kweli Tanzania ndugu Dr Slaa.

Ni ukweli usiojificha kwa wanachama wa chadema asili wametaharuki na kushangaa chama chao kutekwa na wahuni au makapi yaliyoisumbua ccm hadi Kikatio cha Mangula kilipotumika.

Wanachama wa chadema asilia wamelazimika kuirudisha ccm madarakani kwa kosa kubwa la kiitifaki lililoamuliwa na familia moja tu ndani ya chama.

Wanachama wa chadema asilia ni wazi wanatafakari hasa baada ya ushindi wa kishindo wa Magufuli ni kwa vipi wanaweza kukinusuru chama chao kisiporomoke kama NCCR,CUF na TLP.

Wanachadema asilia wanatafuta mwenyekiti kwani haiwezekani Wangwe,Arfi,Zitto,Kitila,Mwigamba na Slaa wakawa na matatizo...tatizo ni mwenyekiti na akiendelea kuchekewa chama kitafutika kwenye ramani ya kisiasa.

Wanachadema asilia wanatambua wanayo haki ya kisheria ya kukiondoa chama mikononi mwa familia ya mtei.

Wanachadema asilia wanataka kuona mfumo wa uteuzi wa wagombea ndani ya chama unakuwa wazi na kufuata taratibu za chama.

Wanachadema asilia wanataka kuona mgao wa ruzuku unakuwa fairly distributed na sio kuwafikia baadhi ya wanaojidai makamanda kutoka kaskazini.

Ni katibu aliyeondolewa na Mbowe ndio aliyetuelekeza kwenda mitaani na vijijini ili kukikuza chama na aliahidi kutupima kwa hilo.leo hii Mbowe amemfanya katibu ni mvivu.

Wanachadema asilia hawajapewa fursa rasmi ya kumpitisha lowassa kuwa mgombea urais kupitia chadema.hili limefanyika kiujanjaujanja kwa kuwa Mwenyekiti anajua wanachama wangelipinga kwani mgombea huyu hana sifa za kikamanda wala hajui misingi ya kuwa kamanda wa wananchi wanyonge.

Wanachadema asilia hawakupewa fursa ya kuamua au kujua jinsi gani mchakato wa kuachiana majimbo utakavyokuwa.sana sana mchakato ulisikika kwenye vyombo vya habari tu.

Wanachadema asilia walijitoa kwa hali,mali na uhai wao kwa kutarajia Tanzania mpya inazaliwa ikiwa haina ufisadi,uongo,udini,ukanda,ufamilia,ukabaila na usaliti badala yake Mwenyekiti na timu ya wachache imetuletea mamluki wanaokichafua chama na kukiacha kikiwa vipande vipande.

Kwa heshima ya Wangwe,Zitto,Slaa,Arfi,Kitila,Kafulila na wengine ni lazima Mwenyekiti uondolewe kwani wewe ndio tatizo.Mwenyekiti umebebwa sana na think tanks ndani ya Chadema na malipo yao yamekuwa ni kuwafukuza tu.

Mwisho wa Mbowe kuwa mwenyekiti Chadema ni oktoba 25.

SENT AS RECEIVED!

DR. Slaa? Mtaje Mwl. Nyerere ndani ya CCM.
 
Mbona hili halina mjadala? kamari yote aliyoicheza inategemea ushindi wa Lowassa na Bunge; kitu chochote chini ya hapo kitamlazimu kujiuzulu yeye mwenyewe. Na itategemea kama atashinda kugombea huko Hai.
Hai ataondolewa pamoja na jitihada za kujisafisha kimahakama
 
Mimi binafsi ili niendelee kuiunga mkono Chadema Mbowe inabidi akae pembeni kwan katudhoofisha sana wanachama

Mbowe asiondoke maana ni mpiganaji. Awaondoe hao waliokimbia aibu ya kukatwa wakaja huko kuficha vichwa vyao kwenye mbawa zao. Hawajui kama kiwiliwili chao kinaonekana.
 
Aaa wewe.
Hao wenye aibu ya kukatwa si walipokewa na Mbowe au?
 
Back
Top Bottom