Baada ya Oktoba 25, Mbowe atang'olewa uenyekiti wa CHADEMA?

Nadhani unamaanisha misimamo ya Slaa ndio ilikuwa mwiba kwa ccm na sasa ni mwiba kwa chadema pia.

Una mfano wowote wa msimamo wa mbowe zaidi ya kuita wenzake wasaliti?

Nakumbuka wakati tunaulizia Dr Slaa yuko wapi mlikanusha sana juu ya kujiuzulu kwake lakini baadae aliwaumbua sana,unapokataa kwamba mgogoro huu haupo unapata habari kwa nani?usije kuta unaposema 'ndani ya chama' unaongelea Mbowe,Mtei,Mnyika na lissu.

kama unaamini chama chako kimekuwa basi jibidiishe kuutafuta ukweli ili uwe huru.

Unadhani wanachama ni wajinga au wavumilivu kwa ujinga uliofanywa na wakubwa chamani?

Maamuzi yao yamegusa na kuathiri maslahi ya watia nia ndani ya chadema waliojiandaa kwa muda mrefu.

Sasa wewe endelea kukanusha lakini utakuja kuyakumbuka maneno yangu baada ya oktoba 25 wakati mimi nitakuwa nikiimbaa ''TINGA TINGA LIKO UWANJANI''
 
Ngoja nikuache kwa sasa niangalie nyimbo za utukufu kwa Mungu siku hii ya kuabudu. Tutakutana baadae Mtani, nadhani sisi si maadui bali tunatofautiana itikadi tuu. Na hata matunda ya serikali ya Ukawa tutayala wote.
Good day my friend jingalao
 
Last edited by a moderator:

M.A.T.A.K.O. wewe. nenda K.A.N.Y.E.
 
Ngoja nikuache kwa sasa niangalie nyimbo za utukufu kwa Mungu siku hii ya kuabudu. Tutakutana baadae Mtani, nadhani sisi si maadui bali tunatofautiana itikadi tuu. Na hata matunda ya serikali ya Ukawa tutayala wote.
Good day my friend jingalao

Chakaza hongera kwa kuwa muungwana.
Hoja hujibiwa kwa hoja na wala sio vijembe waambie watoto wajifunze kutoka kwako.

Hii ni....

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA.
 
Last edited by a moderator:
Chakaza hongera kwa kuwa muungwana.
Hoja hujibiwa kwa hoja na wala sio vijembe waambie watoto wajifunze kutoka kwako.

Hii ni....

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA.

Ubarikiwe sana Mwanachadema mpya Nov 2015
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mwanachadema mwenye uwezo wa kumuondoa mbowe wakati chadema ni mali ya familia yao,kama ukiona huridhiki ondoka wewe lkn ndoto ya kumuondoa mbowe ifute kabisa ili uendelee kuwa salama
 
Hakuna mwanachadema mwenye uwezo wa kumuondoa mbowe wakati chadema ni mali ya familia yao,kama ukiona huridhiki ondoka wewe lkn ndoto ya kumuondoa mbowe ifute kabisa ili uendelee kuwa salama

Kumbe hata Makani ni familia hiyo hiyo? Nilikuwa sijui.
 
Mkuu kwani Osama hakusomeshwa na wamarekani?vipi jamaa wa Escrow aliingia nchini kupitia uchochoroni?hatujamruhusu?vipi mabehewa na kivuko cha magufuli hatukutoa pesa kwa hiari yetu
Kicking out ccm is our high priority today
 
Hakuna mwanachadema mwenye uwezo wa kumuondoa mbowe wakati chadema ni mali ya familia yao,kama ukiona huridhiki ondoka wewe lkn ndoto ya kumuondoa mbowe ifute kabisa ili uendelee kuwa salama
haya hayatuhusu kwa sasa.sasa tuna agenda moja tu ambayo ni kuiondoa ccm madarakani
 
Mkuu kwani Osama hakusomeshwa na wamarekani?vipi jamaa wa Escrow aliingia nchini kupitia uchochoroni?hatujamruhusu?vipi mabehewa na kivuko cha magufuli hatukutoa pesa kwa hiari yetu
Kicking out ccm is our high priority today
Ukitumia mfano huo huo wa Osama ni wazi CCM itammaliza kisiasa kama Marekani ilivyofanya kwa Osama.

Unataka kuiondoa ccm safi halafu uirudishe ile chafu....utasubiri sana!
 
Tanzania hii ya leo sijaona Kiongozi kama Mbowe na sijaona mgombea urais kama Lowasa na sioni wa kumzuia Lowasa kwenda ikulu
 
Chakaza wewe ni mkongwe humu sitegemei ujibu kirahisirahisi namna hii.

Haya ndiyo yanayowakumba Chadema na Ukawa kwa sasa.Yalishatabiriwa!

Unawasemea wale CDM asilia waliotengenezwa na Masaburi au? Safari hii mna kazi pevu! kwa jasho lenu mtakukula Walahi
 
Kapasue shipa hilo ni bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…