Baada ya OYA kumtesa mwanangu, Mungu amejibu dua na sala zangu. OYA wamevuna walichokipanda

Mmewafwata wenyewe....nani ameitwa au kulazimishwa? Mi nawapongeza maana wabongo ni kama wafu bila mijeledi hawaendi!
 
Hawa jamaa ni wehu sana
 

Attachments

  • Screenshot_20241009_114226_Instagram.jpg
    218.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20241009_114216_Instagram.jpg
    219 KB · Views: 5
Mleta mada lipa deni la watu. Kujificha kwenye kichaka cha uzushi na uzandiki kuwa mwanao alizungushwa usiku kucha ni kujidanganya.

Mwanao alienda kukopa mwenyewe, baada ya kusoma masharti na kuyaridhia. Muda wa kulipa mnaanza kuleta malalamiko. Hakuwajua OYA na kero zao kabla ya kukopa??

Benki na SACCOS zipo, mbona hakuenda huko??
 
OYA ni tanzu ya serikali ndo maana hawagusiki
 
Jirani yetu wamechukua mtungi wa gass kumbe hiyo kampuni ila gprs basi wenye mtungi wakafuatilia ule mzozo sijui umeishia wapi.
Hawa jamaa hadi hupa tupu za soda wanabeba
 
KWANI NI KOSA KWA MUARABU KUUA SISIMIZI SHUKURUNI KUACHWA HAI BWANA ABDUL KAAPA KUWALINDA WAARABU KWA NGUVU ZAKE ZOTE AKISHIRIKIANA NA MAMA YAKE BUSHIR I SAMIA
 
Mkuu unaumwa ..nenda kamuone mtaalamu wa psychology
 
Kukopa harusi kulipa matanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…