Baada ya OYA kumtesa mwanangu, Mungu amejibu dua na sala zangu. OYA wamevuna walichokipanda

Pole sana,Sasa jamanii hizi kampuni za mifukoni tuzisusie kukopa!Kuna banki zetu zinajua customer care,mfno:ipo sitazitaja maana nitakuwa nawafanyia promotion isiyonilipa.
Changamoto wateja wao hawakopesheki bank, bank wanafuata utaratibu yaani kuwa na dhamana sio kigezo pekee cha kukopa bali uwe na mzunguuko wa biashara unaoshabihiana na kiwango unachokopa. Hawa kina Oya wao wanakopesha tu, hujawahi kushika hata 1 million lakini ukitaka 3 millions wanakupa tu na shida ndo inaanzia hapo. Wanatoa mikopo wababe na wanaokopa wana historia mbaya ya kukopa hivyo kinaumana.

Kwahiyo, mamlaka zinazosimamia ndo zimefeli maana malalamiko ni mengi mno
 
Dah kuna watu wako juu ya sheria.aise na serikali ya ccm na mama samia wameiweka mfukoni ni mwendo wa ubabe km una chapa.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.CCM OYEE MAMA OYEEEE
Kwa uchungu naskitika kukumwambia live bila chenga kwamba Mwanangu we ni mfitinishaji mkuu.
 
Kesho yake asubuhi tukawepo kituoni, tukamchukua na kurudi naye nyumbani. Uhuni wa kampuni wa OYA haufai, ni lazima ukomeshwe mara moja.,
 
Acheni kukopa taasisi hizo tofauti na bank@KUKOPA SHEREHE KULIPA MAJANGA
 
DUh Mikopo Hii Tazama Huyu Aliekopa kwa mamaye kilichomkuta Bonyeza hapa Instgram Habari & Udaku
 
Ni kweli hao jamaa wamekosea na nasikia hawana mzaha kwenye ishu zao za kudai. Lakini tuangalie upandewa pili sisi watanzania wengi sio watu wa kulipa madeni yaani mtu anakuja kukopa kwa upendo ila baada ya hapo mkopeshaji anapata adhabu ya kufuatilia deni lake utadhani hana haki na hiyo hela ubabaishaji hua mwingi sana kwa watu weusi.
 
Kumbe OYA ndiyo wanateka watu, sasa uchunguzi unanzia hapa, police wamesingiziwa sana! Pole Bibi kwa madhira hayo Mungu akufanyie wepesi!!
 
Ndio maana hii biashara ya kukopesha hela siitaki kabisa,watanzania wengi sio walipaji,kumkopesha mswahili bila ya dhamana ya kueleweka utaishia jela usipoangalia...
Kabisa ndugu, mswahili ni mtu asiyejua kabisa kuheshimu mkataba.

Mtu anakopa kwako pesa ambayo hajui atailipaje kikubwa tu atatue shida zake kwa muda huo.

Ukija kwenye dhamana anaweka dhamana ambazo kimoyo moyo hayuko tayari kuzitoa, haya siku muda wa deni umeisha halafu bado unamdai deni kubwa tu anaanza kukuletea kiswahili kingi mara ohoo sijui anauguza, ukimwambia akuachie vitu alivyoweka dhamana siku akipata hela atakuja kuvikomboa hataki unakuwa ugomvi.... Wabongo watu wa ovyo sana linapokuja suala la mikopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…