Baada ya OYA kumtesa mwanangu, Mungu amejibu dua na sala zangu. OYA wamevuna walichokipanda

HAWA NI WATEKAJI KAMA WENGINE DAWA YAO MKIWAONA WAMEVAMIA SEHEMU NIKUWAITIA MWIZI TU WAPIGWE MPAKA WAUWAE NAO
 
Dah kuna watu wako juu ya sheria.aise na serikali ya ccm na mama samia wameiweka mfukoni ni mwendo wa ubabe km una chapa.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.CCM OYEE MAMA OYEEEE
Hawaq Oyaa wamegundua namna ya kuwadai watanzania...ukitaka ugomvi na mtanzania mkopeshe...mmekutana na kiboko yenu...kama huwezi kulipa usikope..ukikope hakikisha una namna ya kulipa hasa mambo yakikataa
Sasa wameingia cha kike.
 
Baada ya hayo waliendelea kumdai ama walighairisha deni?
 
Angalau kidogo wewe maelezo yako yamejikita hasa kwenye mzizi mkuu wa tatizo.
Umeongea ukweli ambao watu wengi hawataki kuuongelea... Watu wanalalamikia tu matendo ya hao jamaa wanaofanyia wateja wao wakati wa kudai, ila hawaangalii chanzo Cha tatizo ni nini....

Labda swali la kujiuliza mbona Kuna wateja wao wengine hawalalamiki kufanyiwa unyama wa aina yoyote na hao jamaa? Jibu ni kwa sababu wao ni walipaji wazuri na Wala hawana usumbufu kwenye kurejesha.

Wateja wengi wa OYA wanaofanyiwa fujo ni wale ambao ni wasumbufu kwenye marejesho na hawaheshimu mikataba.... Wakishachukuliwa dhamana zao wanaanza kutafuta huruma kwa watu kana kwamba wanaonewa.

Ukikopa pesa za watu LIPA kwa wakati uone kama utasumbuliwa.
 
Lipa madeni ya watu, acha ubabaishaji kaka
 
Hawaq Oyaa wamegundua namna ya kuwadai watanzania...ukitaka ugomvi na mtanzania mkopeshe...mmekutana na kiboko yenu...kama huwezi kulipa usikope..ukikope hakikisha una namna ya kulipa hasa mambo yakikataa
Hakika umenena. Mtz unaweza kukuta anapokea mishahara kila mwezi ila kukulipa elfu 10 yako anaona muda bado
 
Watanzania ndio watu mnaoongoza Duniani kwa kulia lia tuu mkitafuta huruma za watu.

Kizazi gani ichi yani unapigwa na kubebwa msobe msobe umekaa tuu.
 
Mli
Mlichukua hatua gani?.
 
Tuwaweke kundi la watu wasiojulikana. Wakija kwako itaneni mtaa mzima muwachomee kigari chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…