Baada ya picha ya muigizaji akiwa anachat ICU sinema imekuwa rasmi.

Ukiachana na simu,mgonjwa wa ICU hawezi kukunja miguu hivyo kitandani hiyo ni wodi ya kawaida tu.

BTW:Ndani ya CDM ile team iliyoshindwa bado majeraha hayajapona,wameishadadia sana hii issue hasa kwenye "Mlinzi wa Heche".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…