Duh. Mkuu hapa umeogopesha sana. Haya maneno haya... Kidogo nenda taratibu na binti wa watu. Bado ana thamani kubwa yule.Ukiona hawiki ujue amesimama mguu sawa, angesimama tuu mguu upande, kila ziara, angekuwepo.
P
U-DC hatokosaPole sana kwake kwa kupigwa ngumi ya mgongo huyo dada ila kazingua sana unawezaje kusaliti wenzako kiasi hiki ,
Hapo anaona sifa ila upande huo kumdump mtu hawaoni shida baada ya kumtumia shauri yake
Achana na wabwatukajjiUlishaingia ICU ukakuta watu wamepata nafuu wanachati?
Vyoyote ni sawa tu, mgonjwa anayechat kwanini achukue vitanda vya wagonjwa wengine ambao ni critical? Yeye si akalale lodge kama ana hamu ya kujilaza for a while? Amos ni tapeli sana.Acha uongo hapo siyo ICU au ICU huifahamu nini? Chumba hicho mbona kinaonekana ni cha kawaida?
Na maccm wanaweza hata kumuua huyo chapombe ili ionekane amekufa kutokana na kipigo,huyo dada anacheza mchezo wa hatari sana,CCM ni mashetani kabisa.Hii movie target ni Makamu Mwenyekiti John Heche.
Mipango inasukwa apewe kesi.
Hakaelewi kanacho kitafuta. Hajui anayawekea maisha yake rehani.Na maccm wanaweza hata kumuua huyo chapombe ili ionekane amekufa kutokana na kipigo,huyo dada anacheza mchezo wa hatari sana,CCM ni mashetani kabisa.
Mkuu siyo kuwa nimewaza mimi ila ni rumor niliyoisikia sehemu. Jamaa alikuwa anaulizia ni kwa nini wamemhamisha hospital aliyokuwa na kumpeleka hiyo nyingine wakati wala hazizidiani ukubwa? Kwa nini kama rufaa asiende hospital kubwa? Jamaa akasema walikuwa na mpango akifika huko wanakotaka wanamfanya wanachotaka ili wapate kesi ya mauaji ambayo itafanya watu waozee jela. CCM hawafanyi jambo kwa kuona huruma kwani hawana huruma.
Uko sahihi Mkuu.Ukiachana na simu,mgonjwa wa ICU hawezi kukunja miguu hivyo kitandani hiyo ni wodi ya kawaida tu.
BTW:Ndani ya CDM ile team iliyoshindwa bado majeraha hayajapona,wameishadadia sana hii issue hasa kwenye "Mlinzi wa Heche".
Hii movie target ni Makamu Mwenyekiti John Heche.
Mipango inasukwa apewe kesi.
Sujui kwanini hawajui ICU ni nini? Huko ICU utapelekwa kama unahitaji msaada mkubwa ku support mwili wako na mazingira ya ICU ile ni kama transit area 50/50 ukikaa vizuri ndio unaletwa wodini kama wagonjwa wengine sio kila sehemu ICU, huko ICU hakuna hata kuvaa saa hujui ni usiku wala asubuhi.hapo sio icu
🤣🤣🤭Ulishaingia ICU ukakuta watu wamepata nafuu wanachati?
Labda yuko kazini, mmesahau Bambo alipokamatwa na kipindupindu halisi miaka ya 2000 mwanzoniOgopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.
Wanamaafirisha muigizaji na ambulance hadi Benjamin Mkapa Hosp. CWT wanshindwa kumpeleka India basi hata MOI mgonjwa wa ajali. Anaugulia siku 36 hospital isiyo yb rufaa. CCM wana Lana.Mmemtelekeza Katibu wa UWT Mbeya mnahangaika na Muigizaji?
Kwani mgonjwa haruhusiwi kuchat? Anaruhusiwa kuwasiliana na ndugu na jamaa zake ndio maana anaruhusiwa kuingia na simu yake. Au mkuu hujawahi kulazwa hospitalini?Vyoyote ni sawa tu, mgonjwa anayechat kwanini achukue vitanda vya wagonjwa wengine ambao ni critical? Yeye si akalale lodge kama ana hamu ya kujilaza for a while? Amos ni tapeli sana.
Hapo anachati na sponsor wake Amos Makalla anamwambie atume mtu amletee Konyagi waimimine kwenye chupa ya maji ya Kilimanjaro maana arosto inampagawisha hapo kitandani.Ogopa Mungu na Teknolojia. Pongezi Kwa ndugu wa muigizaji aliyempiga picha na kuuhabarisha umma kinachoendelea ICU.