Baada ya picha zinazohusishwa na Kajala kusambaa mtandaoni, atoa tamko la kukanusha

20210607_210850.jpg

Sio yeye
 
Kama ukibahatika kuona picha iliyopigwa kwa angle nyingine utaona sio wao.....
Shosti Kajala akili hana yule mama,kabla hajaenda Dubenga walienda kupima covid Hosp fulani sasa Kajala akawa anapima Paula yuko nje alikua ameshika simu ya Paula Mara ghafla simu ya Paula ikaita akuamuita mwanawe aje kupokea simu, yule kaka wa maabara akamchombeza K kua si apokee tu simu ya mwanawe naskia K akasema "yaani mkitama nisiinuke nilazwe nipokee simu yake huyu mtoto ana mambo makubwa" Kwa picha hyo tayari Kajala anajua ujinga wote wa mwanawe
 
Gwajima alijitetea kama hivi akasema eti kichwa kimeeditiwa.

Swali la msingi likawa leta picha ya mwili halisi wa kichwa mabacho kimeeditiwa kikionyesha harakati ambazo ukizifanya mfano wa kwenye ile video.

Na huyu kajala kwa tunaojua saikolojia huu utetezi una walakini mkubwa sana.

Huwezi kusema umeamua kukaa kimya alafu bado unaongea.ukiamua kukaa kimya usiseme unakaa kimya ukikaa kimya alafu ukisema kuwa unakaa kimya umeshavunja ukimya.

Sijui kwa nini wasanii wanashindwa kuhandle situations kama hizi,hizi ishu unakauka kimyaaa zinapita mdogo mdogo.

Anasema kichwa kimeeditiwa,kwa maana kichwa ndo chenyewe mwili wa mtu mwingine.

Tuletewe mwili halisi wa kichwa kile cha kwenye picha.

Naomba Mungu asiwe yeye dada kajala

Sasa Gwajima kichwa gani kilieditiwa, cha chini au cha juu?
 
Mimi nnayo picha ya binti mhusika
Anaitwa penny anajiuza ubungo
Sio kajala wala sio Paula wale...

But since watu wengi maisha yetu hayana furaha kabisa .ukweli watu hawautaki kabisa
Bro iyo pic si demu kakaa kitanda cha chuma sasa mbona hana tattoo shingoni??? Halafu ile ya kajala ina tattoo shingoni
 
Shosti Kajala akili hana yule mama,kabla hajaenda Dubenga walienda kupima covid Hosp fulani sasa Kajala akawa anapima Paula yuko nje alikua ameshika simu ya Paula Mara ghafla simu ya Paula ikaita akuamuita mwanawe aje kupokea simu, yule kaka wa maabara akamchombeza K kua si apokee tu simu ya mwanawe naskia K akasema "yaani mkitama nisiinuke nilazwe nipokee simu yake huyu mtoto ana mambo makubwa" Kwa picha hyo tayari Kajala anajua ujinga wote wa mwanawe
Mmmh huyu mama wa kizazi kipya....
 
Gwajima alijitetea kama hivi akasema eti kichwa kimeeditiwa.

Swali la msingi likawa leta picha ya mwili halisi wa kichwa mabacho kimeeditiwa kikionyesha harakati ambazo ukizifanya mfano wa kwenye ile video.

Na huyu kajala kwa tunaojua saikolojia huu utetezi una walakini mkubwa sana.

Huwezi kusema umeamua kukaa kimya alafu bado unaongea.ukiamua kukaa kimya usiseme unakaa kimya ukikaa kimya alafu ukisema kuwa unakaa kimya umeshavunja ukimya.

Sijui kwa nini wasanii wanashindwa kuhandle situations kama hizi,hizi ishu unakauka kimyaaa zinapita mdogo mdogo.

Anasema kichwa kimeeditiwa,kwa maana kichwa ndo chenyewe mwili wa mtu mwingine.

Tuletewe mwili halisi wa kichwa kile cha kwenye picha.

Naomba Mungu asiwe yeye dada kajala
Jamani ni yeye nimeshindwa namna ya kumtetea na ile tatooo ya shingoni jamani hamana cha editing wala nini na kwa matukio ya kajala na mwanae si ajabu kuwa na picha za hivo
 
Back
Top Bottom