Baada ya picha zinazohusishwa na Kajala kusambaa mtandaoni, atoa tamko la kukanusha

Baada ya picha zinazohusishwa na Kajala kusambaa mtandaoni, atoa tamko la kukanusha

Jamani ni yeye nimeshindwa namna ya kumtetea na ile tatooo ya shingoni jamani hamana cha editing wala nini na kwa matukio ya kajala na mwanae si ajabu kuwa na picha za hivo
Sio yeye
promo%20master%20on%20Instagram_%20_Haya%20Namaliza%20Utata%20--(JPG).jpeg
 
Hahahah kwa kweli nimefurahi sana kupata kitu cha kupigia puli aka kupanda nazi kwa mkono mmoko
 
Connection ni muhimu sana ndugu zangu.
Kumbuke sisi sote ni ndugu 🥺
Watakupa hadi hela ya lunch, ila sio connection. Watu wabaya. Kuna watu wanazo, tatizo mods wanatembea humu wanasubiri mtu ujichanganye.
 
Duh bila connection mjini hata picha tu huoni, hapa naona conversation inaendelea ila sielewi picha gani hizo wakuu, tutumiane tuone wote😒
Kuna uzi ulinoga hadi page ya 6 hivi, sijui mods walijisahau nini, walivoutoa ata nikasahau kudownload picha.

Ila raia wanazo. Labda PM
 
Mimi nnayo picha ya binti mhusika
Anaitwa penny anajiuza ubungo
Sio kajala wala sio Paula wale...

But since watu wengi maisha yetu hayana furaha kabisa .ukweli watu hawautaki kabisa
Kwa hili nakuunga mkono, yule siyo kajala
 
haifai takula ban
Ni PM mwana
Kajala kachemka hapo. Kama kafikia hatua ya kukubali hicho kichwa ni chake basi hio picha yote inamuhusu yeye.

Ukiangalia hio picha hapo chini ya kichwa kuna mikunjo inayoenda hadi shingoni. Mikunjo inaleta shadow fln kwa mbali ambayo inaendana kabisa na mikunjo yote ilio maeneo hayo (kichwani na mwanzoni mwa shingo)

Af anapoongelea mtoto wake kuwa na huo mwili mkubwa amesahau miaka kama miwili ilopita alijorekodi video yy na mtoto wake wanatingisha matackle ya huku wanacheka kabisa. Probably hio pic imechukuliwa mida hio coz paula ana mwili mkubwa toka zamani.


Muhuni tu huyo, ashamuharibu mtoto wake na anaendelea kusema uongo. Ngoja waliozivujisha wamwage nyingi zaidi ndo tuone atasema nn tena. Mara mia angekaa kimya

Hata deepfake haiwezi kutengeneza kitu yenye precision kiasi hiko. Huyu muhuni tu.. fullstop
Ni PM mwana
 
Back
Top Bottom