spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Jamani kama kuna mtu anayo ya angle ya kwenye mapazia kwa nyuma kulee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah kweli it was a busy day for me, na ndiyo sina connection pia basi tafrani tupu 🤔Tatzo uko bize sana, wandewa walizipost umu, uzi wameufuta BTW sidhani kama ni kajala kweli
We financial na ww upo upo wa chini chini ila mtu akikuonaa hawez dhaniaDah kweli it was a busy day for me, na ndiyo sina connection pia basi tafrani tupu [emoji848]
Wa chini chini vipi sasa mkuu!! Nipo kawaida tu 😀😂We financial na ww upo upo wa chini chini ila mtu akikuonaa hawez dhania
Konde kaingia vip humo.Kondeboy na Wasafi hii vita mnayopigana itaishia kuuana kama akina BIGGIE NA TUPAC....
Kuna element unazo ila niishie kusema tu usiku mwemaWa chini chini vipi sasa mkuu!! Nipo kawaida tu [emoji3][emoji23]
Funguka mkuu , usijali kabisa napokea maoni yawe mazuri au mabaya ni maoni and I'm ready 😛Kuna element unazo ila niishie kusema tu usiku mwema
wanajua wenyewe wanavyopigana vita...Konde kaingia vip humo.
Sioni wa kumuua mwenzie,wataishia kurushiana maneno basi.wanajua wenyewe wanavyopigana vita...
Sioni wa kumuua mwenzie,wataishia kurushiana maneno basi.
huyu ni nani,zigo lile ni mali ya huyu?
Nlikua naangalia kichwa cha huyu dada na kichwa cha kwenye ile picha naamini mwenye ile picha ni huyu dada ndo kafananishwa na Kajala
Presha na makelele ya mtandaoni ni tofauti na uhalisia wa maisha ya kawaida mtaani.Yaani huoni mkuu??? 😳😳😳...
We huzipendi?Ila Unapenda Sana Hizi Mada [emoji3][emoji3][emoji3]
Hapa nilipo network inazingua, kila nikituma inafeli...tutumiane tuone wote😒