Baada ya picha zinazohusishwa na Kajala kusambaa mtandaoni, atoa tamko la kukanusha

Kama ukibahatika kuona picha iliyopigwa kwa angle nyingine utaona sio wao.....
Shosti Kajala akili hana yule mama,kabla hajaenda Dubenga walienda kupima covid Hosp fulani sasa Kajala akawa anapima Paula yuko nje alikua ameshika simu ya Paula Mara ghafla simu ya Paula ikaita akuamuita mwanawe aje kupokea simu, yule kaka wa maabara akamchombeza K kua si apokee tu simu ya mwanawe naskia K akasema "yaani mkitama nisiinuke nilazwe nipokee simu yake huyu mtoto ana mambo makubwa" Kwa picha hyo tayari Kajala anajua ujinga wote wa mwanawe
 


Sasa Gwajima kichwa gani kilieditiwa, cha chini au cha juu?
 
Mimi nnayo picha ya binti mhusika
Anaitwa penny anajiuza ubungo
Sio kajala wala sio Paula wale...

But since watu wengi maisha yetu hayana furaha kabisa .ukweli watu hawautaki kabisa
Bro iyo pic si demu kakaa kitanda cha chuma sasa mbona hana tattoo shingoni??? Halafu ile ya kajala ina tattoo shingoni
 
Mmmh huyu mama wa kizazi kipya....
 
Wakuu X Wa Konde Boi Ametoa Tamko Lake Rasmi Kuhusu Kinachoendelea Huku Mtandano.... Sjui Kama Mods Watafuta na Huu Uzi Pia.View attachment 1811549
Kwa ili namtetea kajala tofauti yao mmoja ni muuzaji wa jumla na mwingine wa rejareja lakini wote wauzaji, talking from experience.
 
Jamani ni yeye nimeshindwa namna ya kumtetea na ile tatooo ya shingoni jamani hamana cha editing wala nini na kwa matukio ya kajala na mwanae si ajabu kuwa na picha za hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…