Samia akiuondoka ana ondoka na Nchimbi wake, labda mnatafuta vita za ndani kwandi civil war, Genge la CCM lote liondoke hamn mwenye unafuu.Nimerudi kuwasanua mwenye masikio na asikie: asiyesikia la mkuu uvunjika guu.
Kuna wahuni wanapanga kutumia mwanya wa maandamano kuchochea kuni zaidi kwa maslahi yao binafsi. Sasa hivi ni wazi kabisa ni Lissu anayekuwa mhitajiwa.
Kuna mpango unaosukwa, wanamtandao wanasema, baada ya kuona Samia hawezi kuinuka tena. Wanapanga kumuweka Nchimbi lakini siyo hivyo tu wanataka kwanza kumuondoa Lissu, ili Nchimbi akikuwapo asiwe na mtu wa kumpa misukosuko ya siasa na aliye na maono ya kweli ya Tanzania.
Nawaonya sana: msijaribu hata kumgusa Lissu. Hii nchi inaweza kuwa moto ikiwa mtafanya makosa. Huyu mtu si tu mpinzani, ni mbeba maono ya Tanzania ya haki, maendeleo, na demokrasia.
Mwananchi yeyote anayemchoma au kumpigia vita Lissu, natabiri madhara makubwa: Tanzania inaweza kuungua vibaya.
Malizeni matatizo yenu kwa ndani yenu, lakini msiwachukulie Lissu kama adui. Achaneni na Lissu. Achaneni na maono yake.
Wacenge wacenge wengi sana humuBinafsi siwapendi CCM na sijawahi kuwa upande wao ....ila we mjamaa una habari za propaganda sana wageni wa JF muwe makini kuchuja habari za humu ndani samjo na story za vijiweni nyingi sana.
Kinga ni bora kuliko tibaBinafsi siwapendi CCM na sijawahi kuwa upande wao ....ila we mjamaa una habari za propaganda sana wageni wa JF muwe makini kuchuja habari za humu ndani samjo na story za vijiweni nyingi sana.
Uongo usiwe mwingi sana hizi ramli chonganishi zinanipa mashakaa hata wapinzani wakichukua nchi nao watakuwa walewale.Kinga ni bora kuliko tiba
Wewe ukiwa zaidi yaoWacenge wacenge wengi sana humu
Wacenge wacenge wengi sana humu
Nikikumbuka NRNE ilikuja kama masiharaTAL ni mpango wa Jah.
Ikachoma nchi na kuleta vifoNikikumbuka NRNE ilikuja kama masihara